commonmwananchi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2011
- 3,377
- 1,952
Wadau!
Swali hili nimejiuliza sana, lakini nimeona pia niulize humu JF, ambako wafuasi wa huyu jamaa wamo lukuki.
Binafsi kama binadamu wengine wote, hakuna ambaye ana akili timamu anayeweza kushabikia yaliyompata ndugu yetu Lissu.
Siwajui waliomtendea haya walikuwa na kusudio gani hasa. (Hiki bado ni kitendawili).
Lakini pia siwezi kuanza kusema ninachotaka kukisema bila kwanza kuwalaani au kumlaani yeyote au kundi lolote lile ambalo liko nyuma ya shambulio hilo lililokuwa na nia ovu.
Tunashukuru mungu kwa kunusuru maisha ya mtanzania mwenzetu huyu.
Amen.
Sasa basi,
Ndugu Lissu amepona na kupitia media mbalimbali,na hasa manazi au wapambe wake humu JF,tunapewa taarifa za yeye kuanza ziara yake huko ulaya UK rasmi na tukiambiwa pia atakwenda EU huko Brussels, ubelgiji (ambako ndio chanzo cha plan hii).
Na baadae tunaambiwa atafika pia USA.
KWA
mujibu wa kauli zake, ni kwamba anakwenda kuwaeleza kuhusu ni nini kilichotokea siku hiyo ya shambulio la kumdhuru.
Lakini haiishii hapo bali anachokisema kwenye maelezo yake muda woote ni kana kwamba yeye tayari amekwisha fanya uchunguzi au upelelezi kuhusu ni nani hasa aliyeko nyuma ya shambulizi dhidi ya uhai wake.
Na tayari alikwishafunga jalada na kutoa hukumu. Kwa hali hiyo anakwenda kuishtaki serikali ya JMT kwenye nchi hizo zenye maguvu ya kiuchumi duniani, ya kwamba serikali hii instahili kunyimwa misaada kwa sababu anazoziamini yeye na walioko nyuma ya mpango huu.
*"Ubelgiji na Us wakati huo, enzi za vita kuu ya kwanza ndani ya kongo,ikipingana na urusi ya USSR. ndio walioshirikiana kumuuwa waziri wa kwanza wa kidemokrasia nchini Zaire, marehemu Patrice Emelie lumumba "*
Nimeweka hiyo hapo juu ili tu kuweka kumbukumbu sawa, ili Lissu na hao marafiki wako wapya, jamii ielewe kwamba hawajawahi na hawatawahi kuwa marafiki wa kweli wa muafrika.
ZAIDI YA KUKUNG'ONG'A kila unapowapa kisogo.
Mpango wako na rafiki zako mmeupanga sawia na hasira za mabeberu dhidi ya JPM, kutokana na misimamo yake mikali dhidi ya wizi wa raslimali zetu kutoibiwa kama shamba la bibi.
Tofauti na watangulizi wake. Yeye amekuwa mwiba usiopenyeka kirahisi.
Lakini pia amekataa baadhi ya mikataba ya kinyonyaji kama EPA nk.
Jambo ambalo limezifanya nchi kubwa afrika kama Nigeria pia kushtuka na kuchukua muelekeo wa Tanzania.
Hili pia linewatia hasira mbaya sana hao wazungu wa lissu.
Na mbaya kabisa, Tanzania imeelekea zaidi kutoa tender kubwa kubwa kwenye nchi ambazosi marafiki au wanajumuia ya ulaya
Mfano.
SGR - Uturuki. (Sasa ni adui wa US.).
STIEGELS GORGE- Egypt (yaleyale)mwarabu.
MABARABARA - China.(adui wa marekani kiuchumi,kijeshi na kisiasa).
Hizo sasa, ukiongezea na makinikia,kwa wale tunaopenda kudadisi na kutumia akili zetu vizuri.
Huyu bwana Lissu anaweza kuwa mtaji mzuri kwa mabeberu hawa kuanzia.
Na ndio maana nimeuliza.
Kama nchi hizo zitashawishika na Tundu lissu na marafiki zake. ambao wengine wanamhujumu rais wakiwa hapa hapa nchini, kama tunavyowaona sasa hivi wakopokezana kutushtaki mara UN,commonwealth, EU nk.
Tukawekewa VIKWAZO ,mkafurahia ushindi wenu na EU & US.
Baada ya hapo maisha ya watanzania yakawa magumu kupitiliza.
Mahospitali yakakosa madawa,na kupelekea wananchi kupoteza maisha. Nk.Nk........
Kwa ujumla nchi ikayumba!
Je 2020 au baada ya hapo, mtakuja kutuomba ridhaa ya kushika dola kwa kigezo cha kwamba mkipewa dola na kushika serikali JMT.
Ndio hali itakuwa nzuri na salama yetu ni kuwapigia kura nyinyi na lissu, ili arudi kwa wazungu kuwaambia waondowe VIKWAZO???
Na je?
Ikiwa ndio hivyo,nini itakuwa malipo yenu kwa wazungu hawa?
Maliasili zetu? Au kipi?
Naomba watanzania wenye kuitakia mema nchi tulitafakari hili.
TANZANIA KWANZA DAIMA. # nasimama na magufuli 2020
Sent using Jamii Forums mobile app