Nauli

Mhache

JF-Expert Member
Jun 20, 2008
345
24
Ilitokea katika eneo fulani nauli ikapanda. Chakushangaza ni kwamba nauli kwa wanaume haikupanda. Kabla nauli ilikuwa ni shilingi 15,000 kwa wanaume na wanawake. Ilipopanda wanaume wakatakiwa kuendelea kulipa shilingi 15,000 wakati wanawake walipandishiwa na kuwa shilingi 25,000. Nilipouliza kwa nini kuwe na tofauti.

Jibu: Wanaume gari likikwama huwa wanasukuma wanawake wao wanabaki ndani ya gari.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom