Nauli za kusafiri kwenda mkoani zimepanda

Shy land

JF-Expert Member
Jul 28, 2013
6,089
2,251
Nawaomba SUMATRA hili swala la kupandisha nauli kwa wamiliki wa mabasi muwashughulikie mara moja na mtoe utaratibu maalumu kwa wanachi sehemu ya kwenda kufichua huu ufezuli unaofanywa kwa sasa.

Nauli za kwenda Shinyanga na mwanza zimepanda hadi kuwa tsh 45000 kwa bei ya kawaida.
 

Attachments

  • 1450675202922.jpg
    1450675202922.jpg
    49.5 KB · Views: 243
abiria pia mnatakiwa mlivalie njuga hilo swala,wote mkiwagomea wenye mabasi hawawezi kujipangia nauli
 
Abiria wa Tanzania hawana jeuri hiyo
 

Attachments

  • 1450676360255.jpg
    1450676360255.jpg
    38.9 KB · Views: 156
Back
Top Bottom