Nauli za daladala zapanda Dar

Savimbi Jr

JF-Expert Member
Sep 23, 2011
6,819
9,181
Habari wadau,

Nipo ndani ya daladala konda anadai Sumatra wamepandisha nauli kwa ongezeko la 150.Abiria wamekomaa mbona Sumatra hawajatanga?
 
Savimbi unaandika post kama una low acquaintance/novice katika kupost. Hujasema ni wapi kwenda wapi, nauli ya route ina tofauti kutokana na eneo. Be smart bwana
 
...ni kweli wamepandisha; mfano,toka mwenge kwenda bunju imekua 750 toka 600, hakuna cha tangazo wala nini,watu wanajiamulia tu.
 
Kutoa taarifa iliyokamili ni taaluma kama si kipaji.

Savimbi unaandika post kama una low acquaintance/novice katika kupost. Hujasema ni wapi kwenda wapi, nauli ya route ina tofauti kutokana na eneo. Be smart bwana

Unazijua Route za Dar Zote? Ku comment pia ni kipaji,we elewa tu kwamba nauli za daladala zimepanda kwa hapa Dar,Ukitaka kujua list yote ya routes na bei mpya wasiliana na Sumatra watakupatia.
 
Back
Top Bottom