Nauli yangu toka Texas kuja nyumbani lounge imetumika sawia kabisa

PhD

JF-Expert Member
Jul 15, 2009
4,599
3,671
Nimefurahia show ya JIDE hapa Nyumbani Lounge, hakika ni mapinduzi makubwa JIDE akiwa na mama yake mzazi ameonyesha njia kwa wasanii wa kike kufanya kazi zao kwa bidii na kuwa na heshima. JIDE ameungwa mkono na watu wazima, vijana na watoto , ni heshima kubwa na namsihi sana atunze na kulinda heshima hii, kama ana mapungufu kadhaa ya kibinadamu ajirekebishe, umatu uliomuunga mkono katika kipindi hiki cha mifarakano ni hazina kubwa.

JIDE amepigana dhidi ya mfumo dume , kandamizi na wenye minyororo wenye kutaka kuabudiwa, hivyo basi wasanii wazinduke wawe huru kufanya kazi popote na mtu yeyote ili kujiondoa kwenye uonevu, kazi ndiyo uwe msingi wa ushindani na sio kubebwa na kubembeleza.

Nikamate KLM nirejee kazini.

Phd ( Dar es salaam )
 
Mkuu hii haijapata kutokea,sasa hivi Juma Nature on Stage,watu wamepagawa mbaya. Haters wa JIDE wakafie mbele ya Safari
 
  • Thanks
Reactions: PhD
Safi sana dada jide.though sikuepo lakin nasikia palikuwa hapatoshi.hongera sana dada..flight yetu ilipata pancha hapa musoma tukashindwa kufika
 
Nilisoma ujumbe wa jide kwenye tweeter anasema SUGU KASHANGILIWA SANAAAAA,,,
na humu kuna wadau walim'beza sana SUGU HAPA
 
Dada umesimama Bali ulitoka huko uko umeonyeasha unaweza na hakuna mpinzani wajaribu kukugusa tena waone kama wabongo hawatawachinjia baharini
 
Wapi nyani ngabu na gang chomba mawakala wa wafu fm apa jf

Niliwaona pale maeneo ya IFM jana waliuwa wanashawishi wanafunzi wa IFM waingie makumbusho kwa FA bure ili wajaze ukumbi....! wengi walliwazodoa na kuwazomea!
 
Hapo nakumbuka ule wimbo wake..."wanaume kama mabinti" bila shaka wenye roho za choyo yamewakuta.Riziki ya mtu haizibwi kwa fitna wala uonevu!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom