Peter Majaliwa
Senior Member
- Jun 16, 2017
- 161
- 30
Kwa wazoefu nahitaji msaada wenu
uko sawa kweli?7800/=
kwa iringa mjini?
40000
Hapana mkuu anapanda gari za mwanza to mbeya nauli ni 40000 had 45000 kampuni ni premium line,Best line,Isamilo nkMwanza to Moro 30,000
Moro to mbeya 20000
Maana unashuka njiani na hawakati nusu
Chukua 50,000/= mkuu