Nauli ya kutoka mwanza kuja dar es salaam ni kiasi gani kwa bus? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nauli ya kutoka mwanza kuja dar es salaam ni kiasi gani kwa bus?

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Mbwambo, Jun 1, 2012.

 1. M

  Mbwambo JF-Expert Member

  #1
  Jun 1, 2012
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Naomba mnifahamishe wapendwa ninataka kufahamu ni kiasi gani kwa BUS kutoka MWANZA kuja DAR
  Asanteni washiriki wenzangu
   
 2. leroy

  leroy JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2012
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 834
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 60
  50,000/=
   
 3. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #3
  Jun 1, 2012
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Nenda ubungo..Unaweza kwenda hata kwa 35,000/=
   
 4. M

  Mbwambo JF-Expert Member

  #4
  Jun 1, 2012
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Asanteni wakuu wangu kwa majibu. Kuna mtu anatoka kenya na ataaingia mwanza kisha kuja dar ndiye amekuwa akiniuliza anataka afahamu bei hajawahi kuja kwa kuingilia mwanza
  asanteni
   
 5. Nyaubwii

  Nyaubwii JF-Expert Member

  #5
  Jun 1, 2012
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 228
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Naona humu JF mtu ukijiskia tu kuanzisha UZI unaanzisha. Sasa hili nalo ni suala la kuuliza humu? Nenda kituoni utapata taarifa kamili.
   
 6. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #6
  Jun 1, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  Nyaubwii kwani kuna ubaya gani,we unataka apande daladala kutoka mbagala hadi ubungo wakati anaweza kujibiwa tu kwa dk chache,huoni ashapata majibu,acha hizo bhana hamna limitation
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Mtanzanika

  Mtanzanika JF-Expert Member

  #7
  Jun 2, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 2,208
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  45,000
   
 8. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #8
  Jun 2, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,287
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  nauli ya basi imegawanyika kulingana na hadhi ya usafiri huo, first class, business, economy,

  first class ni yale mabasi ya ukweli hakuna kusimama njiani, likiwa na abira wa kutosha tu linaondoka, halisuburi mpaka lijae, haya nauli yake ni 50,000/= haipungui chini ya 45,000/= e,g allys

  Business class linaweza kusubiri abiria wote wajae watimie, kusimama njiani halisimami sana, haya nauli haipungui 400000/= e.g mohamed trans

  Economy class - nauli yake inaweza shuka hadi hiyo 35,000/=, lakini kero na tabu zake utakoma! Gari baya, wakati mwingine bovu, likizingua ndio hivyo tena mnasubiria walitengeze muendelee na safari. Basi linasimamasimama njiani, na kuna wakati wanapakia abiria wa njiani hadi wanasimama!! e.g super najmunisa

  Niliwahi kupanda super najmunisa mbona nilijuta, full kusimama njiani, wanapakia abiria wa njiani hadi wanasimama, full joto, gari likaharibika singida, tukasubiri mapaka walitengeneze.
   
 9. iGodmanhustler

  iGodmanhustler JF-Expert Member

  #9
  May 21, 2013
  Joined: Jan 26, 2013
  Messages: 588
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 60
  piga mbuzi
   
Loading...