Acha Dhambi
Senior Member
- Oct 19, 2010
- 145
- 41
Naomba msaada nauli ya ndege za fastjet toka mwanza kwenda dar ni shilingi ngapi naitaji kusafiri mwezi wa 12 mwanzoni pia ratiba ikoje?
Naomba msaada nauli ya ndege za fastjet toka mwanza kwenda dar ni shilingi ngapi naitaji kusafiri mwezi wa 12 mwanzoni pia ratiba ikoje?
Mkuu, Fastjet iko fully booked hadi january tarehe 6, 2013!!..so tumia shirika jingine au usaciri wa aina nyingine...lakini nauli ni app.38,000(VAT exclusv).
Are you serious? Duh, nilishakuwa na plans kwa mwezi huu; si waongeze no of safari.