mkadiriajimajenzi
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 549
- 613
Wananchi wengi tunaoishi Kigamboni na tunaofanya shughuli za kujiingizia kipato upande wa pili au kinyume chake tunategemea sana vivuko hivi viwili katika kutuvusha,sio sisi tu hata wale wanaoishi mbagala huvitegemea pia,kila siku tumekua tukilipa nauli ya sh.200 na wenye magari wakilipia mpaka sh.5000,ukikiangalia kivuko kikubwa tu cha mv.magogoni chenye uwezo wa kubeba abiria zaidi ya 2000 na magari 60 kwa safari moja ambacho kina uwezo wa kupiga root zaidi ya 20 ndani ya masaa 24 kwa siku moja kinakusanya takribani;
Sh. 200 x 2000 x20= 4,000,000 (watu) na sh. 2500 x 60 x 20 = 3,000,000 ambazo jumla yake inakua 7m ambazo ni sawa na sh. 210,000,000 kwa mwezi mmoja,mbali na makusanyo ya pesa zote hizi vivuko hivi vimekua haviishi kuharibika mara kwa mara,kupoteza uelekeo kwa madai ya upepo mkali,kutembea mwendo wa kujikongoja sana ambapo huwasababishia wasafiri kurundikana kwa muda mrefu kwenye malongue yao yasiyo na sehemu za kutosha kupumzika,kuchelewa kwenye shughuli zao,wagonjwa kupata shida ,kina mama kujifungulia njiani n.k
Swali la kujiuliza ni kwamba mbali na makusanyo yote haya ya fedha kwa nn vivuko hivi haviboreshwi? Mbona pesa zinazokusanywa kwa mwaka m1 (takriban bilioni 25) zinatosha kununua kivuko kipya na cha kisasa hakinunuliwi?
Hapo chukulia kivuko kingine kidogo ndo kinachotoa hela za mafuta na kuwalipa wafanyakazi na matengenezo ,kodi n.k
Bila shaka kuna jipu kubwa pale Temesa.Ewe raisi wetu JPM lione hili