Maalum kwa wanaohitaji kusafiri: Aina ya usafiri, bei za nauli, tahadhari za kuchukua

falcon mombasa

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
9,158
9,239
MABASI YA TANZANIA/LIST OF BUSES:

-TAHMEED COACH
-Dar Express
-Dar lux
-Matiku
-Emigrace
-Nyamanza
-Muck
-Lufumbe
-Lamigo
-Super sonic
-Hg
-Baraka
-Marangu coach
-Mvungi
-Jmc
-Shengzou
-Prezdar
-Tilisho
-Nkondo
-God is one
-Bright line
-Top maskary
-Sajda
-Ruchoro
-Ncheye
-Johamvia
-Ruksa
-Royal udzungwa
-Extra
-Ngasamo
-Amazon
-Fikoshi
-Easther
-Appolo
-Kilimanjaro Express
-Hood Limited
-Abood bus
-Metro Express
-Sumry High Class
-Akamba
-Kampala coach
-Shabiby Line
-Princes Muro
-Ngorika
-Buffalo coach
-Saibaba Express
-Fresh coach
-Spider
-Simba coach
-Mombasa raha
-Happy Nation
-Mohamed Trans
-Ibra Line
-Simba mtoto
-Mbeya Express
-Taqwa
-Upendo coach
-Super Feo
-Robin top line
-New Force
-Moro best
-Champion
-Al saedy
-Allys sports
-King cross
-Mwafrika
-Abs coach
-Tawakal
-Raqib
-Moud raha
-Mabrouck
-Fasaha
-Arusha Express
-Urio trans
-Ngwalu express
-Chaula trans
-Islam
-Skyline Express
-Chakito long way bus
-Arusha express
-Best line
-Super sonic exp
-Leina tours
-Ilasi express
-Shabco
-Nganga express
-Jordan express
-Batco coach
-Zuberi
-Super najimunisa
-Sharon
-Dear babu
-Mohamed invenstments
-Masama investments
-Rafiki trans
-Shambalai
-Ng'itu
-Shobnaz
-Safari coach
-Mbazi travel
-Kvc safari
-Pole pole
-Perfect trans
-Lucky star
-Bunda express
-Tonda express
-Deluxe
-R.s investments
-Kimambo
-Seth express
-Tayassar
-Zakaria express
-Green star
-Hajee's
-Grazia
-Ally's sports
-Luwinzo
-Osaka
-Harambee coach
-Shabaha promise
-Fasaha
-Budget
-Satellite coach
-A.M coach
-Air born city
-Air bus
-Tashriff
-Raha leo
-Freys coach
-Coast line
-NBS coach
-Mghamba trans
-Dolphin
-Lakrome
-Bembea
-Meridian coach
-Perfect trans

KAMPUNI ZA MABASI ZILIZOSTAAFU/ RETIRED COMPANIES:

-Scandinavia Express
-Air Msae
-Royal Coach
-Satelite
-Zainabu
-Kwacha
-Kizota line
-Sabco limited
-Embakasi express
-Comfort Express
-Chatco chater

AINA ZA MABASI YANAYOTUMIKA / MAKES OF BUSES:
-Scania
-Mercedes Benz
-Man
-Nissan Diesel
-Yutong
-King Long
-Isuzu
-Iveco
-Zhonda
-Zhong Tong
-Mitsubishi

Mara kwa mara humu pamekuwa na thread za watu kuuliza nauli ya kutoka sehem flani kwenda sehemu fulani, pia wapo wenye waliuliza usafiri wa sehemu fulani nitapata wapi? Wapo pia waliouliza huko wanakokwenda ni wageni je ni tahadhari gani wachukue.

Mimi nikiwa kama mmoja wa wadau usafirishaji nitakuwa hapa kutoa kila update inayonifikia

Cc Invisible JamiiForums

1464608_1014296561978247_552680684654612680_n.jpg
 
Attachments

  • 14202780_1672990763019652_4472100719252521507_n.jpg
    14202780_1672990763019652_4472100719252521507_n.jpg
    48.8 KB · Views: 1,039
Nikitaka kwenda Kigoma tarehe 25 July nikitoka Dar... ntakuwa ndo nimefika dar siku hiyo na ningependa siku hiyohiyo niende Kigoma la ikabidi nilale iwe siku moja. Ni usafiri gani reliable basi treni au ndege?

Gharama zake.... muda wa safari. .... kwa kila usafiri.... upi kati ya hizo ni njia ni usafiri ambao nitakuwa nasafiri huku nainjoi?

Kasie.
 
Nikitaka kwenda Kigoma tarehe 25 July nikitoka Dar... ntakuwa ndo nimefika dar siku hiyo na ningependa siku hiyohiyo niende Kigoma la ikabidi nilale iwe siku moja. Ni usafiri gani reliable basi treni au ndege? Gharama zake.... muda wa safari. .... kwa kila usafiri.... upi kati ya hizo ni njia ni usafiri ambao nitakuwa nasafiri huku nainjoi?

Kasie.
Kwanza inategemea na mfuko wako,ila kuna ndege,bus,trein
 
Naomba kujua nauli ya Mabasi yenu ya Tahmeed kutoka Dar es Salam kwenda Moshi ni sh ngapi na ofisi zenu zipo wapi!
 
Watu hulisifia na wengi wamerudisha mrejesho chakii
Ndiyo mkuu nilipanda Tahmeed mwezi uliopita kwenda Moshi, nilifurahia safari yangu katika bus la daraja la Juu kabisa. Hata wakati wa kurudi nilishawishika tena kurudi nalo Dar.

Nimependa ukarimu wao na kuwajali wateja wao.

Naweza kusema kwa kanda ya kaskazini Tahmeed hana mpinzani. Siyo Dar express,Kilimanjaro n.k.
 
Heri mkuu useme wewe,nikisema mimi naonekana muongo,je vp usafi ndani ya gari uliridhika nao?

telex Madame S
 
Heri mkuu useme wewe,nikisema mimi naonekana muongo,je vp usafi ndani ya gari uliridhika nao?

telex Madame S
Usafi hauna mashaka, hata watu wengi wanaopanda haya mabasi wamestaarabika mkuu, huwezi kuona takataka zimezagaa, dust bin zipo za kutosha unaletewa kwenye seat yako.

Nimependa kitu kimoja zaidi kutoka kwa hawa Jamaa.

Mbali na kuwa na bus nzuri pia wana UNYENYEKEVU wa hali ya Juu, nadhani ile kauli ya MTEJA ni MFALME hawa jamaa wanaitendea HAKI. Hawabetweki hata kidogo.

Pia wapo tiyari kumsikiliza mteja kwa chochote wanachokuwa nacho mkononi. Niliona jamaa akisaidiwa pia
 
Nikitaka kwenda Kigoma tarehe 25 July nikitoka Dar... ntakuwa ndo nimefika dar siku hiyo na ningependa siku hiyohiyo niende Kigoma la ikabidi nilale iwe siku moja. Ni usafiri gani reliable basi treni au ndege?

Gharama zake.... muda wa safari. .... kwa kila usafiri.... upi kati ya hizo ni njia ni usafiri ambao nitakuwa nasafiri huku nainjoi?

Kasie.
Kwa mabasi luxury nauli ni 70, ndege go in return ukiwahi ni 710,000 kwa ATC. Upande wa Precision wako juu zaidi, nadhani ni kuanzia 800,000 ukiwahi, ukichelewa kukata kwa hizo ndege hata milion inafika.
 
Mimi ningepanda bus
 
Usafi hauna mashaka, hata watu wengi wanaopanda haya mabasi wamestaarabika mkuu, huwezi kuona takataka zimezagaa, dust bin zipo za kutosha unaletewa kwenye seat yako.

Nimependa kitu kimoja zaidi kutoka kwa hawa Jamaa.

Mbali na kuwa na bus nzuri pia wana UNYENYEKEVU wa hali ya Juu, nadhani ile kauli ya MTEJA ni MFALME hawa jamaa wanaitendea HAKI. Hawabetweki hata kidogo.

Pia wapo tiyari kumsikiliza mteja kwa chochote wanachokuwa nacho mkononi. Niliona jamaa akisaidiwa pia
Nakuhakikishia ukipanda zile zingine utakutana na kina dada wabinua mdomo,mteja ukichelewa hotelin husubiriwi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom