Nauli bure kwa walimu; Mambo haya 5 yatakwamisha hii project

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,517
21,996
Habari zenu wadau wa maendeleo JF;

Napenda kushukuru kwa ubunifu mbalimbali anaoufanya kijana mwenzetu DC MAKONDA, inatupa matumaini kwamba anajitahidi kutatua kero katika jamii, pamoja na pongezi, Kuna baadhi ya Project ili zifanikiwe ni lazima zifanyiwe utafiti wa kina kuonyesha faida, hasara na changamoto katika utekelezaji wake, kwa hili la Nauli Bure kwa kwa walimu wa shule za Serikali linamapungufu makubwa yafuatayo kutekelezeka:

1. Swala hilo halikushilikisha wadau wa elimu ili kutekeleza.

2. Limeibua maswali mazito na hoja zilizolala, Walimu wanadai hilo limekuja kisiasa,

3. Litaleta matabaka kwenye kada hii ya ualimu (kwa ukanda wa ilala,TMK & mikoani na shule binafsi), Haiwezekani ikawa swala hili ni kwa ajili ya walimu wa shule za serikali tu-Je wale wa shule binafsi siyo walimu?, wanafunzi wa shule bnafsi hutozwa sawa na wale wa serikalini, kwann leo hii BONUS inawatenga shule bnafsi?

4. Mfano kwenye daladala wapande walimu 3, askari police 3, mwanajeshi 1, mgambo 2 na wanafunzi 5, Bado traffiki hajapiga bao lake hapo ..Jamani hivi hilo gari si liatakuwa staff bus? Mbona nchi hii tunawabebesha wadau wa maendeleo mizigo mikubwa? Yaani Mwanafunzi ambaye hana mshahara alipe 200/=, halafu mwalimu anaepokea mshahara apande bure! Hivi kweli tupo SERIOUS? Hata kama ni msaada kweli watu hivi huu msaada umezingatia kipaumbele au upo kimaslahi tu? Kwanini wanafunzi wasio na mshahara wasingepewa masaa japo mawili asubuhi ya kupanda bure, maana kuna wanafunzi wengine huwa hawaendi shule kwa kukosa nauli kwanini asingetoa BONUS ya bure kwao iwe kama motisha kuliko kuwazalilisha walimu kiasi hiki.

5. Police na wanajeshi wanapata ALLOWANCE zao kila mwezi, je kwanini na walimu wasinge wapa posho zao kama allowance ili kuondoa aibu ya mwalimu kukalia siti bure wakati mwanafunzi analipishwa 200 kwa kusimama.

……If you want to eliminate hunger, everybody has to be involved unless will be an-isolation project - By Bono……
 
Who is going to subsidize the difference?
 
Police na wanajeshi wanapata ALLOWANCE zao kila mwezi, je kwanini na walimu wasinge wapa posho zao kama allowance ili kuondoa aibu ya mwalimu kukalia siti bure wakati mwanafunzi analipishwa 200 kwa kusimama.

Naona Mwalimu ana muda mwingi wa kusimama awapo kazini kuliko mwanafunzi wake
 
Back
Top Bottom