Tatizo la mwanamke kupata kichefuchefu wakati wa mimba mpaka kujifungua

Maguge Maguge

JF-Expert Member
Sep 1, 2016
2,734
1,774
Salaam kwenu wana jamvi!

Nina swali moja natafuta majibu yake kwenu naomba msaada hapa;
Ninavyojua Mwanamke akipata mimba hupata kichefuchefu na kutapika hasa ndani ya miezi mitatu ya mwanzo, na baada ya hapo hali hiyo huisha;

Je Mwanamke kupata kichefuchefu na kutapika tangu anashika mimba mpaka anapojifungua tatizo huwa ni nini?
 
Wengine wanaendelea na hiyo hali hadi kujifingua haina shida japo inatesa ni mambo tu ya vichochea mwili...hormones
 
Hizo homons zinazomfanya mjamzito kula kwa shida na kutapika miezi yote hazina namna ya kuzirekebisha ki matibabu?
 
Hayo ni mabadiliko ya hormone tu. Tena siku ya kuacha kutapika wala hatajua, atajikuta tu hiyo hali haipo tena.
Wajawazito wenye watoto Wa kiume wengi ndiyo wanakuwa na hali hiyo.....hmm! Natania hapo.
Hongereni sana. Hakikisheni mnashirikiana na kuwa karibu mpaka Mke atakapojifungua na malezi kwa ujumla.
 
Salaam kwenu wana hamvi!

Nina swali moja natafuta majibu yake kwenu naomba msaada hapa;
Ninavyojua Mwanamke akipata mimba hupata kichefuchefu na kutapika hasa ndani ya miezi mitatu ya mwanzo, na baada ya hapo hali hiyo huisha;

Je Mwanamke kupata kichefuchefu na kutapika tangu anashika mimba mpaka anapojifungua tatizo huwa ni nini?
Duhhh...
Pole sana mkuu, ebu jaribu kumuona Daktari kabla haujapata madhara makubwa....
 
Ameshajifungua!?
Salaam kwenu wana hamvi!

Nina swali moja natafuta majibu yake kwenu naomba msaada hapa;
Ninavyojua Mwanamke akipata mimba hupata kichefuchefu na kutapika hasa ndani ya miezi mitatu ya mwanzo, na baada ya hapo hali hiyo huisha;

Je Mwanamke kupata kichefuchefu na kutapika tangu anashika mimba mpaka anapojifungua tatizo huwa ni nini?
 
Salaam kwenu wana hamvi!

Nina swali moja natafuta majibu yake kwenu naomba msaada hapa;
Ninavyojua Mwanamke akipata mimba hupata kichefuchefu na kutapika hasa ndani ya miezi mitatu ya mwanzo, na baada ya hapo hali hiyo huisha;

Je Mwanamke kupata kichefuchefu na kutapika tangu anashika mimba mpaka anapojifungua tatizo huwa ni nini?
Kutapika ktk 1st trimester (1st 3 months of pregnancy) is common, huisha by 14 weeks lakin kwa wengine hadi wiki ya 22. Tatizo hili huitwa morning sickness.

It is a physiological changes ambapo kiwango kikubwa cha vichocheo (hormones) ktk mfumo wa damu hasa hasa estrogen na hcG (human choriogonadotrophin hormon) ndio sababu kubwa.

. Eating small meals at more frequent intervals is recommended
. Hot foods may aggreviate vomiting kwa hiyo aepuke Kula vyakula vya moto badala yake ale vyenye uvuguvugu
. Smell of certain foods often worsen symptoms kwa hiyo should be avoided
. Mafuta mengi kwenye chakula pia huongeza kichefuchefu hivo aepuke vyakula vyenye mafuta mengi
. Hali ikizidi anaweza kupewa dawa (kuhusu Aina na strength ya dawa Njoo inbox au fika hospitali)

Hali hii kwa baadhi huwa ni kali zaidi hadi kuhitaji kulazwa Kwani huweza kupelekea mama kuishiwa maji mwilini. Hii huitwa Hyperemesis Gravidarum kwa maana hiyo nakushauri ufike hospitali kama utaona inafaa kwa uchunguzi na ushauri zaidi
 
thank you!
najihisi kuwa karibu na huduma kwa ujumbe wako mkuu!!
 
Hayo ni mabadiliko ya hormone tu. Tena siku ya kuacha kutapika wala hatajua, atajikuta tu hiyo hali haipo tena.
Wajawazito wenye watoto Wa kiume wengi ndiyo wanakuwa na hali hiyo.....hmm! Natania hapo.
Hongereni sana. Hakikisheni mnashirikiana na kuwa karibu mpaka Mke atakapojifungua na malezi kwa ujumla.
unatania aisee!! ha ha ha!
mwenzio namsaidia mgonjwa kukonda kwa kumhurumia lejea post yangu ya kwanza baada ya kujisajili jf!
 
Hakuna dawa mkuu hali inatesa sana hiyo na inaweza kuwa kwa mimba hii tu au zikawa zote yote inawezekana kuwa nae karibu mpe mapenzi ya karibu ili aondoe hofu, inaweza kuisha mapema au ikaendelea mpaka kule labour ward yaani inatesa hadi unaweza kusema mimba itolewe tu
 
Dawa zipo sana!!
 
Back
Top Bottom