Naturiste at Cap d’Agde: Kijiji ambacho kila aingiaye anatakiwa awe uchi

sumu-ya-panya

JF-Expert Member
Aug 6, 2016
632
571
The Village Naturiste at Cap d’Agde ni mji ulipo nchini Ufaransa pembezoni mwa bahari ambao ni lazima watalii na mtu yeyote anaetaka ingia mjini humu lazima awe uchi kama alivyozaliwa

17b28c162d62a36d028c79e7de099114.jpg


Kwa mujibu wa The Sun, The Village Naturiste at Cap d’Agde ni mji wanaoshi watu wa aina hiyo na katika kipindi cha joto watu hufika hadi 40,000.

Pia kuna benki, salon, supermarket na sehemu zingine ambazo watu huenda wakiwa watupu.
Wageni kwenye mji huo hulipa 17000tsh (£6) katika geti, huvua nguo zao na kuziweka kwenye loka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom