Natural hair Vs Fake Hair

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,408
hair nat.jpg hair  2.jpg fake 1.jpg fake 2.JPG

Choice is yours.....
 
Labda hiyo ya mwanzo tu, nyengine noway hata hizo dreadlocks sijui mnaivyoita.
 
Boflo, sijawahi kuona umekosea

Sikiliza Bujiku
Wanawake sijui kwa nn wanapenda fake hair, huwa sizipendi kabisa na zinawafanya waonekane kama mashetani..
Siku 1 nilikuwa na do na dem 1, nywele zikaporochoka bac stimu yote ikanitoka, na wengine wakiwa na fake
hair hawataki hata uwaguse kichwani, sasa hapo kuna raha gani??
 
Mi nilipata mwanamke, mrembo ile mbaya, akawa anaiona mi zuzu, eti sitambui ile minywele ya bandia. Akawa ananiambia amezaliwa nazo, na mimi nikawa namuitikia ndio..ndio...ndio...
Basi siku moja tuko kwenye matembezi ikaja mvua kubwa, na hatukuwa na sehemu ya kujisitiri, nywele zililowa na manyuzi yaliyoshonewa yakaanza kukatika.
Mimi nikamuuliza, mwenzangu kulikoni, mbona kichwani kwako kuna matabaka mawili ya nywele,?

Hahaha....huwa ninakugongea thanx kabla sijasoma post zako
 
Boflo nilshakwambia kwamba post zako hunikosha sana. nakuapenda bure lol!

nashukuru Mungu nina natural hairs ingawa relaxed lkn zinagusa mgongoni na sijutii eti kutaka kuweka mibandia ama minyusi bandia lol! sasa ukitaka kukinai umkute mdada kaeka manywele fake, nyusi fake, kope fake na rang za kope za rainbow utamkimbia.
 
Last edited by a moderator:
Bujibuji, wanawake wa nywele za bandia huwa hawapendi mvua wala kuogelea, utawaona na bikini na kuchezea maji ikiwa imemlazimu, yaani wachache saana wataoga maana baada ya hapo lazima afanye setting tena

Mbaya zaidi huwa zinanuka, sasa ukae nae ndani ya daladala na mbanano ule, utatapika.
 
Last edited by a moderator:
Mi nilipata mwanamke, mrembo ile mbaya, akawa anaiona mi zuzu, eti sitambui ile minywele ya bandia. Akawa ananiambia amezaliwa nazo, na mimi nikawa namuitikia ndio..ndio...ndio...
Basi siku moja tuko kwenye matembezi ikaja mvua kubwa, na hatukuwa na sehemu ya kujisitiri, nywele zililowa na manyuzi yaliyoshonewa yakaanza kukatika.
Mimi nikamuuliza, mwenzangu kulikoni, mbona kichwani kwako kuna matabaka mawili ya nywele,?

Ha ha haaa,duh,noma.....
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom