Natubu: Nimeshiriki kwa njia moja au nyingine kufisadi nchi hii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natubu: Nimeshiriki kwa njia moja au nyingine kufisadi nchi hii

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Leornado, Jan 31, 2011.

 1. L

  Leornado JF-Expert Member

  #1
  Jan 31, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,534
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Najua siko peke yangu wengi wetu kwa njia moja au nyingine tulishiriki kufisadi au bado mnaendelea kufisadi TZ.

  Naomba msamaha wenu sirudii tena.
   
 2. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #2
  Jan 31, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,372
  Likes Received: 3,136
  Trophy Points: 280
  Humu ndani mna mambo mengi!..........we nani ndugu....ukiwa muwazi tutakusamehe......ukificha hatuwezi kusamehe hewa na kumbuka pia kurudisha japo kiasi kidogo ulichobaki nacho ili tununulie dawa, vitabu, tuwaongezee posho waalimu badala ya wabunge, tujenge shule za kweli sio hizi za vodafasta za kikwete za kuua elimu nchi, tuwawezeshe vijana kujitegemea, tuwape wanafunzi mikopo ya elimu ya juu japo akina kikwete na wenzake walisoma bure na hatuwadai kitu....

  Wewe ni nani hasa.... Rostamu?.... Mkapa?... Kikwete?... Lowassa?.... Edawrad Hosea?..... Ngeleja?....... Mzee wa vijisenti?.......

  Tuambie basi roho zetu zipumue ili tujue nani kati yenu ameamua kuacha kutufisidi
   
 3. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #3
  Jan 31, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Mh!
  Hebu tujuze ili tukusamehe na tukuombee dua njema na usafishike, nani mwenzetu?
   
 4. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #4
  Jan 31, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Makubwa
   
 5. nziriye

  nziriye JF-Expert Member

  #5
  Jan 31, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 960
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  tunakusamehe na usipende rudia tena ,na wote wanajf we have to luk at ufisadi from various cornerz na c ktk kuplunder,kupiracy and kusyphone money bt also when we dont participate fully in facing and show reactions to those fisadis...ucrudie tena mdogo wangu sawa eee
   
 6. m

  mamakunda JF-Expert Member

  #6
  Jan 31, 2011
  Joined: Jul 4, 2010
  Messages: 371
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hata kwa wale ambao huwa wanarudi kundini (yaani kanisani) baada ya kupotea siku nyingi huwa wanazitaja dhambi zao na kuzifafanua. Hiyo ndo TOBA ya kweli. Sasa ukisema ufisadi tu ni neno pana, wapi na kwa jinsi gani? na unarudisha mali? au vipi?
   
 7. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #7
  Jan 31, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Tukujue kwanza na kiasi ulichofisidi, ndio msamaha utatoka!!!
   
 8. M

  Maamuma JF-Expert Member

  #8
  Jan 31, 2011
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 856
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Madogo yana nafuu!
   
 9. L

  Leornado JF-Expert Member

  #9
  Jan 31, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,534
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Nani humu atadiriki kusema hajashiriki kwenye corruption au kufisadi? iwe kujuana kindugu/nepotism hadi grand corruption?rushwa ni rushwa haijalishi ni kiasi gani. Kunijua isiwe ishu.
   
 10. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #10
  Jan 31, 2011
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Dah! Nimecheka sana hii thread. wewe jamaa unasema kumefisadi na unaomba msamaha!!? Useme waziwazi umefisadi nini na kwa kiasi gani. Ndo tufikiri kukusamehe. Lo! JF kuna mambo makubwa.
   
 11. BRUCE LEE

  BRUCE LEE JF-Expert Member

  #11
  Jan 31, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 2,089
  Likes Received: 1,158
  Trophy Points: 280
  Babu lao huyu ndugu anatukejeli watu huwa hawatubu kisanii namna hiyo, hivi ye dini gani? unapotubu jutia makosa yako na uyaweke bayana ili usamehewe, mwizi mkubwa
   
 12. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #12
  Jan 31, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Naomba uwarudishie haki zao wale walioathirika direct na ufisadi uliofanya.
  Muombe mungu wako pia msamaha, na usirudie tena.
  Ahsante kwa kuona kuwa ulilolifanya halikuwa zuri.
   
 13. beatrixmgittu

  beatrixmgittu Senior Member

  #13
  Jan 31, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 113
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mhhh. Makubwaaa hapo kwenye red hapo.Jitokeze hadharani tukujue ndio msamaha utakuwa wa kuroho.
   
 14. L

  LAT JF-Expert Member

  #14
  Jan 31, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  hiyo location yako .... duuu
   
 15. L

  Leornado JF-Expert Member

  #15
  Jan 31, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,534
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Forms of corruption vary, but include bribery, extortion, cronyism, nepotism, patronage, graft, and embezzlement.

  Msijifanye watakatifu, nani hajawahi kufanya kimojawapo hapo juu?? Wote tu wala rushwa sema amount na aina zinatofautiana. Nadhani nimeeleweka.

  Wangapi humu huwapa traffic rushwa? Wangapi humu hujiandikia posho na safari hewa ili walipwe na serikali? Wangapi hutoa kazi, cheo au nafasi yoyote kwa ngugu au marafiki hata kama hawana uwezo?

  Tafakari chukua hatua.
   
 16. L

  LAT JF-Expert Member

  #16
  Jan 31, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  by simple reasoning.... kuna tofauti kati ya mwizi na jambazi....... naomba pia utofautishe kati ya rushwa na ufisadi ..... ambapo wewe umekiri kufanya ufisadi.... vinginevyo hata kuchukua kalamu ya ofisini na kumpelekea mtoto nyumbani ni ufisadi.....
   
 17. T

  TEGEMEA JF-Expert Member

  #17
  Feb 1, 2011
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Omba msamaha kwa mungu,atakusamehe.
   
 18. Reserved

  Reserved Content Manager Staff Member

  #18
  Feb 1, 2011
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 750
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  I love JF!
   
 19. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #19
  Feb 1, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Naona umekuwa busy unapita na mkasi. Love JF!
   
 20. IHOLOMELA

  IHOLOMELA JF-Expert Member

  #20
  Feb 1, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 833
  Likes Received: 362
  Trophy Points: 80
  namie pia nawaomba munisamehe maana kura yangu mwaka 2005 ilimpa ubunge Fisadi RA kule kwetu Igunga. Natubu kwa dhambi hiyo! Mnisamehe Wadanganyika wenzangu.
   
Loading...