Natokwa usaha sehemu ya haja ndogo. Nini tatizo wakuu?

SIKU ya pili leo uume unadondosha usaha tatizo msaada wakuu
Pole sana, hilo ni gono, kachome sindano kwa tiba ya haraka ukitumia vidonge, hakikisha unabadilisha chupi mara kwa mara. Dumisha usafi kwa ujumla.
 
Back
Top Bottom