Natokwa usaha sehemu ya haja ndogo. Nini tatizo wakuu?

mangatara

JF-Expert Member
Jul 6, 2012
14,542
2,000
Gono hiloooo. Utakoma kutembea na malaya tena bila kinga. Angalizo; Usiende kujinunulia vidonge vya rangi mbili famasi bubu huko ukajimezea. Gono likikomaa hakuna rangi utaacha kuona. Gono hukomaa kwa kunywa vidonge bila mpango wa dokita
 

full of faith

JF-Expert Member
Jun 7, 2018
279
250
Pole sana mkuu!!
SIKU ya pili leo uume unadondosha usaha tatizo msaada wakuu
Huo ugonjwa unaitwa Gonorrhea,ni ugonjwa wa zinaa(std).Ni ugonjwa unaotibika na kupona.Pia hutibiwa na kufuatiliwa kwa taratibu.

Dawa zifuatazo ndiyo kundi la dawa za hatua ya awali zinazopendekezwa na wizara yetu ya afya.

Tafadhali tumia kama maelekezo yanavyosema.

1. Tab. Cefixime 400mg PO stat
2. Tab. Azithromycin 1g PO stat

Mkuu nunua hizo dawa hapo juu na umeze zote kwa pamoja.
Inashauriwa na ndivyo ilivyo wote wewe na mwanamke wako mtibiwe na Usishiriki tendo la ndoa bila ya kondomu coz unaweza kupata maambukizi mapya na ukaongeza tatizo au kuambukiza wengine.

Pia upime maambukizi ya virusi vya UKIMWI.

Asante.
 

fh kwenye beat

JF-Expert Member
May 29, 2017
473
500
Haha mzee gono hilo mzee baba utamu haijawahi acha mtu salama yani zile powesafe kwa kwl zinauma acha kabisa jiandae kisaikolojia
 

flulanga

JF-Expert Member
Jul 1, 2016
4,462
2,000
Unapiga Peku nabado mda huohuo unaforce bolo liingie looote mpaka usikie mwanamke anasema umemgusa kizazi ndio nafsi yako inaenjoy.... nahayo ndio matokeo yake
 

mvuv

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
2,763
2,000
Mkuu kama unasikia maumivu wakati wa kukojoa hilo ni Gono kama waluvyosema wadau. Unatakiwa kupata dozi ya sindano za Powercef kwa muda wa siku tano, Utachoma mkononi sindano moja moja kila siku. Taarifa nzuri ni kwamba utapoanza kutumia dawa hiyo na usaha utakoma hapo hapo ila ili kupona hakikisha unakamilisha dozi kwa usahihi. Kwa ajili ya privacy ongea na mtoa huduma awe anakuja kukutibia nyumbani aidha kila asubuhi au kila jioni. Gharama hazitazidu tsh elfu 30.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom