Natoka kusini naelekea kanda ya ziwa,maombi yenu

Cosovo

JF-Expert Member
Jul 8, 2018
667
1,795
Baada ya kuhitilafiana naye baada ya kukataa kulala naye kitanda kimoja na shuka moja....na kuzuka vurugu za hapa na pale

Mwanamemba mmoja wa jf alitukutanisha na kuombana msamaha na baada ya kutoka ziara huko Asia ,ameniita tena kwake

Maombi yenu ni muhimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
pale unapoandika ukidhani kila mtu anajua kilicho ndani ya mawazo yako matokeo huwa ni uzi kama huu, nimetoka kapa!
 
Back
Top Bottom