Natoka kimapenzi na baba wa rafiki yangu - Je nimwambie?

Masaki

Masaki

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
3,464
Likes
180
Points
160
Masaki

Masaki

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
3,464 180 160
Wadau; hii nimeitoa kwenye blog ya Udaku Specially! Dada hapo chini anaomba ushauri!

=======================================================================================

Dear Readers, I am having an affair with my best friend’s dad and I’m finding it so hard not to confess to her.

I am 20, my friend is a year younger, and her dad is 38. She and I only became friends a couple of years ago when we met in university. We hit it off and I became friends with her family too – her mum, younger brother and sister.

Her dad is tall, dark and handsome. It all started between us when he took me home one night after I’d had too much to drink. He dropped me off and leaned over to kiss me, and that kiss turned into passionaté snoggíng for half an hour.

He asked me to meet him the next day at his office – he’s the boss. He took me to lunch, then we went for a drive. We did it together in his car. It was amazing. And we’ve been having a hot affair for the past three months.

Every time I’m with my friend I am thinking about what me and her dad have. If I tell her it will ruin a family and my friendship, but I just know one day I won’t be able to stop myself blurtíng it out.
 
pmwasyoke

pmwasyoke

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2010
Messages
3,726
Likes
395
Points
180
pmwasyoke

pmwasyoke

JF-Expert Member
Joined May 27, 2010
3,726 395 180
Anataka tumshauri aendeleze umalaya?
 
HorsePower

HorsePower

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2008
Messages
3,614
Likes
47
Points
145
HorsePower

HorsePower

JF-Expert Member
Joined Aug 22, 2008
3,614 47 145
Masaki, kwa sababu thread hii umeitoa kwenye blogu ya udaku inaweza kuwa udaku kweli kweli. Nimefikiria kipuuzi, kwa mahesabu rahisi, kama huyo baba wa rafiki yake ana miaka 38 na rafiki yako ana miaka 21 maana huyo baba na mwana wamepishana kama miaka 17 nikimaanisha huyo baba alimpa mimba mama yake na huyo rafiki yake akiwa na miaka 16!!! (Ukijumlisha pia umri wa mimba wa miezi 9!) Sina hakika sana na uzazi wa namna hii!

Ukirudi kwenye mada, kwa assumption pengine wapo wenye tatizo kama hili, ktk hali ya kawaida, huyo rafiki yake anayetembea na baba yake mzazi, amemsaliti yeye mwenyewe na mama yake mzazi. Kitendo cha kutoka na baba yake mzazi ni kuisaliti ndoa ya wazazi wa huyo rafiki yake na hivyo kumwambia rafiki yake ni jambo hatari. Huo ni uhuni mkubwa sawa na uhuni mwingine wowote!
Anachotakiwa kufanya ni kuachana na hiyo tabia haraka iwezekanavyo, kabla siri haijavuja!!!
 
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Messages
47,856
Likes
3,645
Points
280
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2010
47,856 3,645 280
Sasa kama umeitoa Udaku Special si ungeijadili huko huko...
Hizi mambo zenu za kunakili mavitu huko na kuyaleta huku sijui mtaacha lini?
Hao Udaku Special wenyewe ni wapashkuna wa kidijitali, wana nakili kila kitu...
Na hii habari wameitoa huko nje kwenye mitandao mingine...

Gonga Hapa
 
Elli

Elli

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2008
Messages
31,165
Likes
17,773
Points
280
Elli

Elli

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2008
31,165 17,773 280
she is a year younger? i am 20yrs old? University Student? kuna flow ya event haijakaa uzuri hapa, ok ok endelea kumpa raha baba wa mwenzio, si umepewa bure bhana, haiiishi hio acha uchoyo but kumbuka Jehanamu inakungoja
 
Masaki

Masaki

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
3,464
Likes
180
Points
160
Masaki

Masaki

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
3,464 180 160
Sasa kama umeitoa Udaku Special si ungeijadili huko huko...
Hizi mambo zenu za kunakili mavitu huko na kuyaleta huku sijui mtaacha lini?
Hao Udaku Special wenyewe ni wapashkuna wa kidijitali, wana nakili kila kitu...
Na hii habari wameitoa huko nje kwenye mitandao mingine...

Gonga Hapa

Asante mdau kwa kunifumbua macho. Kumbe nao wamekopi. Lakini hayo mambo hata kwenye jamii yetu yapo. Kwa hiyo si vibaya tukaelekeza mjadala kwenye hilo la mmomonyoko wa maadili katika jamii.
 
Masaki

Masaki

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
3,464
Likes
180
Points
160
Masaki

Masaki

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
3,464 180 160
she is a year younger? i am 20yrs old? University Student? kuna flow ya event haijakaa uzuri hapa, ok ok endelea kumpa raha baba wa mwenzio, si umepewa bure bhana, haiiishi hio acha uchoyo but kumbuka Jehanamu inakungoja
Watoto siku hizi wanaingia Uni wakiwa na 17 years! Mfumo wa elimu umebadilika na kuwawezesha watoto kumaliza chuo mapema!
 
Masaki

Masaki

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
3,464
Likes
180
Points
160
Masaki

Masaki

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
3,464 180 160
Masaki, kwa sababu thread hii umeitoa kwenye blogu ya udaku inaweza kuwa udaku kweli kweli. Nimefikiria kipuuzi, kwa mahesabu rahisi, kama huyo baba wa rafiki yake ana miaka 38 na rafiki yako ana miaka 21 maana huyo baba na mwana wamepishana kama miaka 17 nikimaanisha huyo baba alimpa mimba mama yake na huyo rafiki yake akiwa na miaka 16!!! (Ukijumlisha pia umri wa mimba wa miezi 9!) Sina hakika sana na uzazi wa namna hii!

Ukirudi kwenye mada, kwa assumption pengine wapo wenye tatizo kama hili, ktk hali ya kawaida, huyo rafiki yake anayetembea na baba yake mzazi, amemsaliti yeye mwenyewe na mama yake mzazi. Kitendo cha kutoka na baba yake mzazi ni kuisaliti ndoa ya wazazi wa huyo rafiki yake na hivyo kumwambia rafiki yake ni jambo hatari. Huo ni uhuni mkubwa sawa na uhuni mwingine wowote!
Anachotakiwa kufanya ni kuachana na hiyo tabia haraka iwezekanavyo, kabla siri haijavuja!!!
Horsepower,

Hayo yote yanawezekana, kwa kuwa katika umri wa miaka 16, mtu yeyote rijali anaweza kumpa mimba mwanamke.

Tukirudi kwenye mada, mbona huyo baba mnamsahau hapo? Ni utovu wa nidhamu na ukosefu wa maadili wa hali ya juu anaounyesha and he is going to be the loser if the shit hits the fan! Ndoa yake itavurugika kabisa !! Uroho mwingine unahitaji kuwekewa mipaka !
 
Kongosho

Kongosho

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2011
Messages
36,078
Likes
392
Points
180
Kongosho

Kongosho

JF-Expert Member
Joined Mar 21, 2011
36,078 392 180
You are very global

Asante

Sasa kama umeitoa Udaku Special si ungeijadili huko huko...
Hizi mambo zenu za kunakili mavitu huko na kuyaleta huku sijui mtaacha lini?
Hao Udaku Special wenyewe ni wapashkuna wa kidijitali, wana nakili kila kitu...
Na hii habari wameitoa huko nje kwenye mitandao mingine...

Gonga Hapa
 
HorsePower

HorsePower

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2008
Messages
3,614
Likes
47
Points
145
HorsePower

HorsePower

JF-Expert Member
Joined Aug 22, 2008
3,614 47 145
Horsepower,

Hayo yote yanawezekana, kwa kuwa katika umri wa miaka 16, mtu yeyote rijali anaweza kumpa mimba mwanamke.

Tukirudi kwenye mada, mbona huyo baba mnamsahau hapo? Ni utovu wa nidhamu na ukosefu wa maadili wa hali ya juu anaounyesha and he is going to be the loser if the shit hits the fan! Ndoa yake itavurugika kabisa !! Uroho mwingine unahitaji kuwekewa mipaka !
Masaki, tunapoajdili mada huwa tunaangalia na mazingira yenyewe tukio lilipotokea. Kwa hii thread yako na huko ilikotokea nimepata mashaka kidogo sana kwa kijana kuzaa na huo umri ingawa inawezekana! Nalazimika kuona kana kwamba story hii ni ya kupikwa, ingawa kuna ukweli mkubwa kuwa wapo baadhi ya wasichana na wababa wenye tabia hizi.

Tukirudi tena kwenye mada, swali lilioulizwa ndilo nililokuwa najaribu kujibu. Maana swali lilikuwa dhidi ya dada kumwambia rafiki yake juu ya kutembea na baba yake, na ndiyo maana jibu nalo lilikuwa ni la kumjibu huyo msichana kwa upuuzi anaoufanya.

All in all naunga mkono hoja yako na hasa hapo nilipobold!

HP.
 
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Messages
47,856
Likes
3,645
Points
280
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2010
47,856 3,645 280
Yaani unajua sana mitandao, au ningesema 'you are very much globalised networkally?'
Hahaha....kumbeee
Enewei huwa napenda sana kujadili uhalisia kuliko hadithi za vitabuni...
 
Preta

Preta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2009
Messages
24,193
Likes
3,392
Points
280
Preta

Preta

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2009
24,193 3,392 280
Hahaha....kumbeee
Enewei huwa napenda sana kujadili uhalisia kuliko hadithi za vitabuni...
naleta story yangu kutoka hekaya za Abunuasi........ole wako uanze kuichambua.......ushanfehem.....
 
N

Neylu

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2012
Messages
2,682
Likes
60
Points
145
N

Neylu

JF-Expert Member
Joined May 28, 2012
2,682 60 145
Sasa kama umeitoa Udaku Special si ungeijadili huko huko...
Hizi mambo zenu za kunakili mavitu huko na kuyaleta huku sijui mtaacha lini?
Hao Udaku Special wenyewe ni wapashkuna wa kidijitali, wana nakili kila kitu...
Na hii habari wameitoa huko nje kwenye mitandao mingine...

Gonga Hapa
Hahahaaaa...... Wewee ni hatari.!
 
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Messages
47,856
Likes
3,645
Points
280
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2010
47,856 3,645 280
Hivi Dr, hicho kitabu bado kipo dunia hii...mekumis sana rafiki nitakusaka baadae

naleta story yangu kutoka hekaya za Abunuasi........ole wako uanze kuichambua.......ushanfehem.....
 
fabinyo

fabinyo

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2011
Messages
2,083
Likes
36
Points
145
fabinyo

fabinyo

JF-Expert Member
Joined Aug 5, 2011
2,083 36 145
Sasa kama umeitoa Udaku Special si ungeijadili huko huko...
Hizi mambo zenu za kunakili mavitu huko na kuyaleta huku sijui mtaacha lini?
Hao Udaku Special wenyewe ni wapashkuna wa kidijitali, wana nakili kila kitu...
Na hii habari wameitoa huko nje kwenye mitandao mingine...

Gonga Hapa
duh,we jamaa kweli unasoma Globally!safii
 
Forum statistics

Threads 1,275,229
Members 490,947
Posts 30,536,252