Natoa ushauri kwa wanawake/wasichana wasio na wapenzi bure

ndo unatafuta mchumba kwa njia hiyo? labda inaweza kukusaidia ngoja waje wenyewe tuone.
 
Hili tangazo angeliweka Face Book, angepata wateja wa kumwaga.............
 
Haaaaaa du kweli wewe ni mjanja hata mbinu yako ya kutafuta demu ni ya kijanjajanja haaaaaa kazi ni kwako feisbuku
 
Sasa huu ni mradi au msaada!! isije ikawa ushauri wakirudi wote wana uja uzito!!! Dah nimesikia za kutunga lakini hii kiboko!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom