malela.nc
JF-Expert Member
- Nov 24, 2013
- 246
- 336
Habari wadau,
Kwa wakazi wa Gongo la mboto na viunga vyake, wanaofanya kazi Posta, kutokana na usafiri wa umma kuwa na changamoto sana. Nahitaji watu wanne (4) ambao wanafanya kazi Posta niwe nawapeleka kazini asubuhi saa 06:30 na kuwarudisha nyumbani baada ya kazi saa 16:00. Nkipata wa ofisi moja itapendeza zaidi. Natangiliza shukrani zangu
NB: Mjuze na mwenzio asiteseke tena.
MENGINEYO.
1. Ada ni 5,000 kwa siku yaani ni kwenda na kurudi.
2. Gari itaondoka 06:30 asubuhi Gongo la Mboto hivyo muda uzingatiwe.
3. Malipo yatafanyika kwa week yaani 25,000/=
4. Jumamosi na Jumapili sitafanya kazi.
5. Gari nayotumia ni IST
MAWASILIANO.
0675 404145