Natoa siku saba walioiba matairi ya gari la wizi likiwa kituoni baada ya kukamatwa likiwa salama watakipata Cha Moto

Daah ndiyo walinzi hao! Nenda Pemba au Mombasa, watakutwa wanatafuna matairi..

Rahisi SANA, mpigie RPC mpigie kamanda Sirro, akitoa maelekezo, kuna watu hawana kazi!

Everyday is Saturday........................... :cool:
 
Uchawi ni nn mkuu?
Tangu umezaliwa umewahi kushuhudia kwa macho yako popote uchawi ukifanya kazi? Au ndio story za kijiweni zinakupa matumaini hayo? Tatua mambo kwa kutumia akili, uchawi haupo unapoteza muda tu.
 
:D:D:D umenikumbusha niliibiwa betri kituo cha polisi na hata wa kumbana upate kitu chako unakua huna. Hii ndio bongo bwana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom