natoa pole kwa ndugu zangu waisilamu mnaopitia wakati huu mgumu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

natoa pole kwa ndugu zangu waisilamu mnaopitia wakati huu mgumu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by C Programming, Oct 20, 2012.

 1. C Programming

  C Programming JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 1,749
  Trophy Points: 280
  ndugu zangu waisilamu poleni na matatizo mnayopitia....wakati huu ambayo

  1.kusemwa mitaani kwa kuchoma makanisa wakati wengine hawahusiki lakini mnajumuishwa wotee

  2.kusemwa na watu kila tupitapooo kutokana na wachache wanaotuchafulia dini

  3.watu wametengeneza vimeseji na kutumiana kwenye simu kwa kuwasemaaa ambazo zimesambaaa

  4.kupigwa kwa mabomu waisilamu waliokuwa wakisali msikiti wa idrissa kariakooo

  5.kukamatwa kwa waisilamu wasiohusika na maandamano hapo jana

  6.kupigwa kwa mabomu msikiti wa mtambani kinondoni na ule wa kichangani pale magomeni

  7.tunasemwa na watu mitaani kama sisi ni wakorofi..........

  8.marungu mliopigwa hapo jana kariakooooo


  kusema kweli kitendo cha kupiga mabomu msikitini ni kosa kubwa mno......ila cha umuhimu huu ni muda mzuli kwa sisi sote kujiunga na chadema maana ndo chama pekeee ambacho kitatusaidia kutatua kero zetu
   
 2. m

  mhondo JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2012
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Unazungumziaje uharibifu wa makanisa na kuibwa kwa vifaa vya kieletroniki? Naamini mabomu ya machozi yatakuwa hayakukusudiwa kupigwa/kuelekezwa msikitini kwani wanajua kufanya hivyo ni kuzidi kuchochea moto.
   
 3. c

  ckjs Member

  #3
  Oct 20, 2012
  Joined: Mar 26, 2011
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapana mkristu anayeweza kwenda KUIBA mali ya kanisa!!!
  Hata kama ni wezi hawaibi kanisani wanajua madhara yake! Kwani wale walioshikwa na vifaa vya kanisa majina yao yakoje! Na walioshikwa ktk purukushani kuna jina hata moja linaelekeana na ya ukoo wa .....
   
 4. Rapha

  Rapha Tanzanite Member

  #4
  Oct 21, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 631
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Hahahahaaaa... Bomu la machozi kupigwa msikitini kosa kubwa... Kuchoma makanisa co kosa ee!??
   
 5. pcman

  pcman JF-Expert Member

  #5
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 743
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Yaliyotokea yanathibitisha umuhimu wa kuimiza watu kwenda shule.

  Wahuni wachache wamefanikiwa kuupaka matope uislamu.Shime tuhimizane kwenda shule.

  Sent from my LT26i using Tapatalk 2
   
 6. MWILI NYUMBA

  MWILI NYUMBA JF-Expert Member

  #6
  Oct 21, 2012
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 819
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Nakushauri katafute list ya wale watu waliokamatwa mbagala uone kama kina john pia hawapo. Watu wengi hawana kazi wakipata upenyo tu wanautumia na hili la kazi halina cha said wala jakobo!
   
 7. h

  hidekel Senior Member

  #7
  Oct 21, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 142
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mimi kwakweli ni mkristo pure ila the way hii trend ya chuki inavyozidi kukua naona kabisa something is wrong hata kwa upande wa wakristo, leo kila muislam anaonekana kama ni shetani mwenyewe jambo baya kabisa, hata kuwa na marafiki wa kiislam na wakristo sasa hivi ni issue. tukumbuke tulipoanguka kabla hatujafika mbali. na wanaotumislead in viongozi/wachungaji/mashehe wetu ila mimi nionavyo watanzania kama watanzania kwa maana ya wananchi sidhani haya yote yanayosemwa wanayaona. huko makanisani nimekuwa nikisikia mambo yanayotakmwa madhabahuni juu ya waislam kwa kweli spendezwi kabisa. ni aibu turudi jamani hatujapote kabisa. itafaa kweli tuwe kama nigeria? Iraq. mtu unasali but your not sure what will happen in the next minute. tumewajengea wenzetu waislam sura ambayo wao nao wameamua kwenda nayo whatever the case ila tujue tutakua repsonsible kwa kizazi chetu hiki kinachozaliwa kwa sasa. mbona tulipendana sana zamani jamani. kwa wale ambao hawakuona enzi hizo atleast kuanzia miaka ya 87s Kurudi nyuma wanaweza wasijue ninacho sema anyway jambo ambalo limekusudiwa kutotea huwa ni lazima litokee yangu macho.
   
Loading...