Natoa onyo kali kwa wale wote wanaomnyemelea mke wangu cacico

papito hivi umechunguza vizuri budy list yako? teh teh teh. cacico ndie aliyetakiwa

alalamike, hao wanawake wote hao? afadhali hata kwangu sing'ang'aniagi. teh teh

Mhmmm!!! Sijachunguza mda mrefu...Embu nisaidie kucunguza halafu uniambie kinachoendelea huko.
 
Mbaya wako mwingine ni Bishanga, ndo niliwaona wanaoneshana mguo za nje
 
Last edited by a moderator:
Mimi nadhani shida iko na anayetongozwa na kuwakubali wote hao.

Nami nilikuwa nataka nimpe hili jibu. Hamuamini mkewe, anatoa beat kubwaa....huu ni udhaifu mkubwa.

Hujambo lakini.....miss you ooooo.
 
wewe unaogopa case kwa cacico? Umesahau case ulizoamsha na mods?

naona wanaume ni wa 4 na wa 3 ni mods. Akiwepo Invisible, Buchanan na Xpaster. teh teh

inakuwa kama vile hao ndio wanakuibia cacico wako. ngoja upigwe ban,

ukirud unakuta cacico yuko na Bishanga or The Boss or hata mm nikiamua.
Erotica naomba uniepushe na kikombe hiki maana walionipiga 'wanted' jf nikianza kuwahesabu inabidi nitumie kalkuleta.
 
Last edited by a moderator:
Young_Master wprry not ma luv, u r the ONLY man exists in my life here! so have peace, Asprin anakulindia tu kama haupo, Erickb52 nikienda mikoani kikazi huwa ananifariji tu na si vinginevyo, Mentor aliomba tu tiba nikamkanda jana kwa majani ya mpapai na kumwambia kuwa mi si chungwa la platozoom- mie ni ndimu, tena ndimu pori! shaka ondoa, mwahhhhh!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom