Natoa offer kwa member wenzangu wa jf

Rich Pol

JF-Expert Member
Oct 11, 2013
7,865
5,671
Merry christimas member wenzangu wa jf, nipo uhuru peak karibuni offer nitakuwepo mpaka saa tatu kisha nitahamisha kambi sehemu nyingine
 
Ahsante kwa ukarimu nafikiri waliopo karibu bila shaka watakaribia.
 
kula bia mkubwa ,hapo kuna jamaa anaitwa Wily au inocent wapatie bia kwa niaba yangu .
 
the world is full of surprise and miracles, unapodhani upo mwenyewe unakuta kuna wengine watatu hapohapo ingawa simaanishi kwa mkeo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom