Natoa nafasi za watu kuja kufanya field

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
5,321
11,410
Wale wanaosoma Hotel Management, Human Resource, Business and Administration, Customer Care, Sales and Marketing kwa ngazi za kuanzia Diploma, Degree na kuendelea.

Karibuni mje kufanya Field.hasa ma binti. Nmefungua mabanda matatu ya kuuza chips. Hao wahusika wanaweza kupata nafasi za kuja kufanya field.

Kwa kipindi chote cha field chakula watakula hapo hapo ofisini. Lakini nataka pia waoneshe ufanisi na matumizi ya elimu yao. Kwa mfano katika kumenya viazi,kukata kata kwa kipimo sahihi,kuosha na pia kukaa kwa kuweza kubudget mafuta vizuri na moto.

Pia jinsi wanavyowahudumia wateja kwa furaha,bashasha na mapenzi. Kwa mdada ambaye atakuwa tayari awasiliane nami private. Karibuni sana.
 
Nunua chipsi cutter urahisishe kazi hao wa field kazi yao iwe kutafuta na kuongeza wateja, hao wa mapishi wakaibe utaalamu wa sehemu kunapikwa chipsi tamu.
 
Back
Top Bottom