Natoa mafunzo ya Pre-form

PAZIA 3

JF-Expert Member
Jan 30, 2018
1,070
1,842
Kwa mwenye kituo,nafundisha masomo ya sayansi,PHYS,CHEM & BIOS, tuwasiliane tuanze tar 10 sept hii. 0763269465
Pia nipo na rafiki yangu,yeye anafundisha Maths,&Phys
 
Ungejazia nyama mkuu
Mbona maelezo yako wazi tu!!! kipindi hiki cha mwezi sept huwa tunafundisha tution kwa vijana wanaomaliza dalasa la saba/pre-form one.Hivyo naitaji mtu mwenye centre either aniajiri,ama tutaelewana kwa asilimia kwenye malipo.Ndiyo maana nikasema,tuwasiliane
 
Back
Top Bottom