Natoa huduma ya kutuma na kupokea pesa nje ya nchi (UK, US, na CHINA) kwa njia ya MPesa, TigoPesa, na Airtelmoney

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
6,293
8,204
Habari za leo marafiki,
Kwa wale wanaotaka kutuma fedha nje ya nchi au kupokea kutoka nje ya nchi karibuni.

Natoa huduma ya kutuma na kupokea pesa nje ya nchi (UK, US, na CHINA) kwa njia ya MPesa, TigoPesa, na Airtelmoney.

Karibuni sana.
 
Chaji zikoje? Nchi zingine je? Umesajiliwa au black marke?
 
Back
Top Bottom