Jethro
JF-Expert Member
- Mar 23, 2009
- 2,219
- 370
Hii concept ya mtu ajiuzulu tu eti kwa sababu hasemi kitu au hasikiki kwenye media outlets etc, imepitwa na wakati sasa, I am sorry to say.
Could it possibly be that he is quiet because the mechanism is in place and churning away and doesn't require his input? Really, does he have to say anything and/or be seen to be deemed "effective"? If this is so, aren't we going back to the old populist politics of Tanzania of years past?
Mwacheni Masha afanye kazi yake na wizara yake. Waziri wake mdogo yupo, idara zake zinafanya kazi na ziko in the public eye etc
Hebu nipe mifano hai ya huyo masha kuwa kiamia na hiyo mechanism is in plcae? ivi wewe huko ndani ya hii nchi au nje? wakumbuka A.R. Mrema akiwa waziri ya mambo ya ndani utendaji kazi wake unaukumbukaaa.?
Hebu tazama sasa ujambazi ulivyo shamiri na waziri wa kitengo husika haongei chochote na hao wakina Kova wanachemka hata kutoa statement kwa media kazi kuwachanganya wananchi tuuuu.