Nato Bure leo Ijumaa

vivian

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
1,749
1,000
1. Catton 5 za mafuta ya AYU.
2. cATON 2 za sabuni za REVOLA, REXONA, GARDENIA na GIV.
3. Catton 1 ya mafuta ya TAN BOND
4. VIP pieces 12.

Kwa anayetaka moja ya bidhaa hizi ani Inbox Tafadhali.
 
Mambo ya ku Unveil ID za watu huku acha. Nitakusemea kwa Paw.

leo ijuma wapi?

Dah,umesema ukweli ujue ila nilitaka ujue tu,halafu kwenye ile Lottery ya mwezi huu nimeshinda mimi na ninatafuta wa kunisaidia kuzitumia uko tayari..??
 
mi ni hapo kwenye redi,
itanifaa sana hasa kwenye mahanjumati ya thikukuu ya kuzaliwa Mwokozi.

1. Catton 5 za mafuta ya AYU.
2. cATON 2 za sabuni za REVOLA, REXONA, GARDENIA na GIV.
3. Catton 1 ya mafuta ya TAN BOND
4. VIP pieces 12.

Kwa anayetaka moja ya bidhaa hizi ani Inbox Tafadhali.
 
Dah,umesema ukweli ujue ila nilitaka ujue tu,halafu kwenye ile Lottery ya mwezi huu nimeshinda mimi na ninatafuta wa kunisaidia kuzitumia uko tayari..??

kuna besti yangu anaitwa Bebii alipotea, angekuwepo jamani ningekuja naye.

Utakua wapi Ijumaa hii?

Kesho twende Bilicanasa kwenye besday ya clouds
 
Last edited by a moderator:
yaani baby unamuomba vivian madhiwa mbele yangu.... nimenuna leo siendi popote.

kwa taarifa yako huyu mwanaume anatuchanganya. naomba kuanzia leo Mentor tusijuane hata kwa che
mbe sawa?

Am so irritated
 
Jamani jamani.... vivian, wewe si uliondokaga ukaniacha peke yangu wewe! iweje leo nikuchanganye na my one and only pornstar Catherine??! iweje tu...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom