nationalism itasaidia ?

wa hapahapa

JF-Expert Member
Aug 22, 2012
7,454
4,374
Kulingana na uwekezaji wa kifisadi ktk vitalu vya gesi na madini je itawezekana mali hizo kurudi ktk umiliki wa umma ?
 
Idd amin dada. Aliweza kuwafukuza wahindi ktk sekta za biashara na kuwapa wazalendo.

Pengne ukawa watafanya ivyo 2015 ?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom