National Insurance Corporation of Tanzania Ltd Interview | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

National Insurance Corporation of Tanzania Ltd Interview

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Mwana UoA, Nov 9, 2011.

 1. M

  Mwana UoA Member

  #1
  Nov 9, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii kali mwaka huu hivi imagine mkurugenzi kweli anaamua kutangaza kwenye newspaper wale wote waliomba kazi ya Assistant Accountant waende kwenye written interview na for more information tembelea www.nictanzania.com unaingia kwenye web hamna information yoyote hivi hii c dharau wanaona watoto wa maskini tunavohangaika ndo wameamua kutumia njia kama hizi nenda pspf nssf the sama way da jamani hichi kiama
   
 2. shizukan

  shizukan JF-Expert Member

  #2
  Nov 9, 2011
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Mimi huwa sielewi hawa wanaojiita watu wa IT kwenye hizi taasisi kubwa kubwa huwa wanafanya nini maofisini. Wako busy na lunch tyme kuliko kitu kingine chochote, simu mbili mbili na flash disk yenye kamba kuubwa ikining'inia shingoni na mashati ya kuimbia kwaya. Ukija kwenye website zao, SIFURI. Tangu ilivyotengenezwa haijawahi kuwa updated. Ndugu zangu tufanye kazi na sio kudisplay vyeti maofisini. Sasa huyo mkurugenzi itakuwa kamwambia mtu aandike yeye mwenyewe hata hajawahi kufuatilia.
   
 3. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #3
  Nov 9, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,922
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Hapa naona umepigilia msumari wa moto utosini...sina la kuongeza
   
 4. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #4
  Nov 9, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  sasa hapa naenda kuwambia mashosti wangu
  niliomalia nao chuo waje kufanya interview

  Gazeti gani wametoa???
   
 5. Johnsecond

  Johnsecond JF-Expert Member

  #5
  Nov 9, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 1,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  labda mkurugenzi alikurupuka kabla hajawasiliana na watu wa IT.
   
 6. M

  Mwana Mnyonge JF-Expert Member

  #6
  Nov 9, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 348
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  daah wakiweka majina tupeane taarifa mazee
   
 7. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #7
  Nov 9, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  Asante...........
   
 8. M

  Mwana UoA Member

  #8
  Nov 9, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Angalia mwananchi ya jana na leo pia vichekesho jamani watu imefikia kweli wanafanya mambo kienyeji wanavotaka wao
   
 9. M

  Mwana Mnyonge JF-Expert Member

  #9
  Nov 9, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 348
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  mwana nchi la jana hakuna kitu
   
 10. M

  Mwana Mnyonge JF-Expert Member

  #10
  Nov 9, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 348
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  mwananchi la leo halina kitu mkuu
   
 11. M

  Mwana UoA Member

  #11
  Nov 9, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mpendwa kuna kitangazo kidogo sana mwishoni mwa gazeti
   
Loading...