National housing wakataa kuwauzia nyumba wakubwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

National housing wakataa kuwauzia nyumba wakubwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Moses Kyando, Jun 14, 2011.

 1. Moses Kyando

  Moses Kyando Member

  #1
  Jun 14, 2011
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Shirika la Nyumba la Taifa kupitia bodi yake limeweka historia kwa kukataa kuwauzia nyumba wafanyabiashara na vigogo wa serikali badala yake wanatakiwa kulipa kodi za pango. Big National Housing Management team
   
 2. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #2
  Jun 14, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  wataziuza tu, na mbaya zaidi zitaenda kwa wahindi wa Upanga
   
 3. Moses Kyando

  Moses Kyando Member

  #3
  Jun 14, 2011
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa nini unadhani wataziuza mkuu Fulani wakati wametangaza kwamba kwa sasa hakuna nyumba yenye vigezo vya kuuzwa mpaka wajenge mpya, au shinikizo la kisiasa litawaandama
   
Loading...