National Housing Corporation na Mickey Mouse City....mnatisha!

Tausi Mzalendo

JF-Expert Member
May 23, 2010
1,471
722
Hii ni kwa NHC....Hivi kupaka mirangi ya pinki nyumba zenu jiji zima la DSM mlishauriwa na nani?.........Fikirieni siku rangi itakapopauka jiji litakavyochekesha maana hamnaga kawaida ya repairs wala touch-ups!!

Ombi rasmi - ACHENI MARA MOJA KUPAKA HII RANGI....Tafuteni wataalamu wawashauri jamani ..mnatia aibu!
 
hii ni kwa nhc....hivi kupaka mirangi ya pinki nyumba zenu jiji zima la dsm mlishauriwa na nani?.........fikirieni siku rangi itakapopauka jiji litakavyochekesha maana hamnaga kawaida ya repairs wala touch-ups!!

Ombi rasmi - acheni mara moja kupaka hii rangi....tafuteni wataalamu wawashauri jamani ..mnatia aibu!
beauty is in the eyes of the beholder
 
Hii ni kwa NHC....Hivi kupaka mirangi ya pinki nyumba zenu jiji zima la DSM mlishauriwa na nani?.........Fikirieni siku rangi itakapopauka jiji litakavyochekesha maana hamnaga kawaida ya repairs wala touch-ups!!

Ombi rasmi - ACHENI MARA MOJA KUPAKA HII RANGI....Tafuteni wataalamu wawashauri jamani ..mnatia aibu!

Nili note hii kitu kitambo, you and I think along the same lines.
 
Hii ni kwa NHC....Hivi kupaka mirangi ya pinki nyumba zenu jiji zima la DSM mlishauriwa na nani?.........Fikirieni siku rangi itakapopauka jiji litakavyochekesha maana hamnaga kawaida ya repairs wala touch-ups!!

Ombi rasmi - ACHENI MARA MOJA KUPAKA HII RANGI....Tafuteni wataalamu wawashauri jamani ..mnatia aibu!

pengine ungepewa chance ya ku suggest unadhani ni rangi gani ingefaa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom