Natilia shaka kurugenzi ya mawasiliano ikulu na Jk | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natilia shaka kurugenzi ya mawasiliano ikulu na Jk

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by DALLAI LAMA, Apr 22, 2012.

 1. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #1
  Apr 22, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Hili la kuwaambia mawaziri 'huu ni upepo unaopita' ivyo wasing'atuke na baadaye kurugenzi kusema rais kikwete hajasema inanipa shida kuamini kanusho lenyewe kwani si mara ya kwanza.KUMBUKA JAIRO ALIVYOMREJESHA ikulu ikakana baada ya nchi kutaharuki.SUALA LA POSHO ZA WABUNGE kurugenzi ikakana kuwa rais hajakubali baada ya Spika na waziri mkuu kuwaarifu wabunge kuwa rais kakubali.Nimegundua kuwa Jk huwa anaangalia upepo ndo maana aliyoyasema hukanushwa ikitokea malalamiko.NA HAYA YANASABABISHWA NA KUTOJIAMINI.kuwa msaidizi wa kikwete yahitaji uwe mlevi wa VIROBA kila dakika.
   
 2. G

  Gamba la Chuma JF-Expert Member

  #2
  Oct 5, 2015
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,247
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Wanaharibu taswira ya ikulu
   
Loading...