Nateswa na dawa za kuona wachawi hasa usiku

Chibolo

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
4,947
6,373
jamani
kama kuna anayejua dawa za kuweza kuniondolea kuona wachawi hasa usiku
anisaidie nateseka sana,maana kila siku naweza kuona wachawi 3-5 na mashart yake nikuwa nisiwasemeshe wala nisiwafanye chochote, mwenye kujua anipm tuwasliane zaidi.
 
Chibolo umebarikiwa sana ndugu na mshukuru sana Mungu kuwa na uwezo huo.

Nakusihi sana tena kwa busara na hekima umuombe sana Mungu akuelekeze nini cha kuwafanya hayo madudu!!!

Mko wachache sana wenye uwezo huo kama ni wakutoka kwa Mungu.

Hakuna dawa zaidi ya kurudi Mungu akuongezee uwezo zaidi.

—------------------------
EARTH ON HEAVEN
 
mkuu Chibolo kwani wewe hizo dawa wewe ulizipata wapi? Nadhani huyo aliekupatia hizo dawa za kuona wachawi anaweza kukupa ya kutokuona.
 
Chibolo umebarikiwa sana ndugu na mshukuru sana Mungu kuwa na uwezo huo.

Nakusihi sana tena kwa busara na hekima umuombe sana Mungu akuelekeze nini cha kuwafanya hayo madudu!!!

Mko wachache sana wenye uwezo huo kama ni wakutoka kwa Mungu.

Hakuna dawa zaidi ya kurudi Mungu akuongezee uwezo zaidi.

-------------------------
EARTH ON HEAVEN

amshukuru mungu ikiwa ni kipaji alichopewa na mungu sio na babu yake ili awaone wachawi.
 
Mchawi mkubwa wewe!! Ulipoenda kutafuta hiyo midawa ya kishetani hukujua kuwa iko siku itakugeuka?tangu lini shetani akawa na urafiki wa kudumu na binaadamu?? Umia mwenyewe,uliyataka mwenyewe,uliishawahi kusikia kuhusu Yesu kristo kabla ya kuamua kumiliki majini hayo?
 
jamani
kama kuna anayejua dawa za kuweza kuniondolea kuona wachawi hasa usiku
anisaidie nateseka sana,maana kila siku naweza kuona wachawi 3-5 na mashart yake nikuwa nisiwasemeshe wala nisiwafanye chochote, mwenye kujua anipm tuwasliane zaidi.

nani aliekutuma kuitafuta sasa? samaki ale nani shombo umpake nani?
 
Do not accuse him or her kwan haya mambo huweza kutokea hata bila ww kujijua na c kwa kwenda kwa mganga,nafkir ushaur wa kumwomba mungu ni mzur zaid,cdhan kama kila unachofikir kinafaa kuwasaidia watu!
 
Pole sana ndugu yangu , tatizo la kuona 'vitu ambavyo haviko' ni dalili mojawapo ya ugonjwa wa akili. Nina kushauri uende hosipitali yoyote ya mkoa ambako kuna kitengo cha wagonwa wa akili ili wakupe msaada .
 
jamani
kama kuna anayejua dawa za kuweza kuniondolea kuona wachawi hasa usiku
anisaidie nateseka sana,maana kila siku naweza kuona wachawi 3-5 na mashart yake nikuwa nisiwasemeshe wala nisiwafanye chochote, mwenye kujua anipm tuwasliane zaidi.

Uko tayari kulipia shilingi ngapi?
 
jamani
kama kuna anayejua dawa za kuweza kuniondolea kuona wachawi hasa usiku
anisaidie nateseka sana,maana kila siku naweza kuona wachawi 3-5 na mashart yake nikuwa nisiwasemeshe wala nisiwafanye chochote, mwenye kujua anipm tuwasliane zaidi.

Tuwasiliane nikupeleke mahali ukasaidiwe
 
Pole sana ndugu yangu , tatizo la kuona 'vitu ambavyo haviko' ni dalili mojawapo ya ugonjwa wa akili. Nina kushauri uende hosipitali yoyote ya mkoa ambako kuna kitengo cha wagonwa wa akili ili wakupe msaada .

Yeah_this is very_very_very true mkuu......maake lo!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom