Chibolo umebarikiwa sana ndugu na mshukuru sana Mungu kuwa na uwezo huo.
Nakusihi sana tena kwa busara na hekima umuombe sana Mungu akuelekeze nini cha kuwafanya hayo madudu!!!
Mko wachache sana wenye uwezo huo kama ni wakutoka kwa Mungu.
Hakuna dawa zaidi ya kurudi Mungu akuongezee uwezo zaidi.
-------------------------
EARTH ON HEAVEN
jamani
kama kuna anayejua dawa za kuweza kuniondolea kuona wachawi hasa usiku
anisaidie nateseka sana,maana kila siku naweza kuona wachawi 3-5 na mashart yake nikuwa nisiwasemeshe wala nisiwafanye chochote, mwenye kujua anipm tuwasliane zaidi.

Pole sana ndugu yangu , tatizo la kuona 'vitu ambavyo haviko' ni dalili mojawapo ya ugonjwa wa akili. Nina kushauri uende hosipitali yoyote ya mkoa ambako kuna kitengo cha wagonwa wa akili ili wakupe msaada .