minja mgumu
JF-Expert Member
- May 9, 2017
- 204
- 308
Habari za mapambano ndg,wa familia moja ya jf?.kwanza nikupongeze kitu k1,kama umekaa na kufikiria ukatunga hii habari uko vzuri,lakini kama ni uhalisia pia nijambo ambalo lipo wala siyo uongo nimesha kutana na watu tofauti tofauti wenye case za kuhitaji Msaada mpaka unasafiri kifikra mbali sna.ila wapendwa niwape kitu ki 1 ambacho kitawasaidia ktk maisha na vizazi vyako,tujifunze kusaidia Mara kwa Mara wenye mahitaji maalum.pia niwakumbushe maana wengi wetu hatuna kipato cha uhakika ktk kusaidia unaweza ukafanya njia hii,kuanzia mwezi wa kwanza hadi mwezi wa 10 na mbili jichange weka kiasi kidogo cha Pesa kila siku,wiki,mwezi hadi ukifika mwisho wa mwaka ona kinacho stahiri kuwapelekea wenye mahitaji maalum katika vituo mf,kuna vitu ambavyo ni common havikwepeki nenda katembelee ktk kituo chochote ulizia kisha ondoka zako kanunue Mchele,maharagwe,nguo kulingana na size za wahusika na lika uliloona,wapelekee hiyo nisadaka kubwa mno alafu kaangalie sasa ktk kazi zako au biashara zako uone mungu atakavyo fanya vitu vyake.kisha urudi hapa utoe ushuhuda nanina kwambia hutakuja kuacha kutoa ukisha gundu siri hii.bwana awabariki ktk jina lake.