Nateseka!Laptop inakataa Kufungua Internet,nakosa uhondo wa Jf

Aleyn

JF-Expert Member
Nov 12, 2011
19,175
32,324
Natumia simu ya 5130(Xpress Music)kama Modem katika Laptop,juzi ilikubali ila leo na jana imegoma kabisa na Settings zote zipo sawa. Nikhfungua Google Chrome inasema "THIS WEBPAGE IS NOT AVAILABLE" Google Chrome's connection attempt to search.conduit.com was rejected. The website may be or your network may not properly configured. Mwisho kabisa inasema "Error 102 (net:: ERR_CONNECTION_REFUSED): The Server refused the Connection
Natanguliza Shukrani Great Thinkers
 
Unatumia software gani katika kuconnect internet kwenye laptop kwa kutumia simu yako?
 
unaunganishaje na hiyo simu? os? umejaribu browser nyingine?
 
sasa ndio unateseka nini hapo/? wewe babu na bibi yako walikuwa wana internet? kama walikuwa hawana waliteseka?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom