Natengeneza sofa za aina zote kwa bei nafuu

yustad azizi

Member
May 28, 2018
16
3
Natengeneza sofa za aina zote Kwa bei ya chini ni mwaminifu na mchapakaz na Kwa yeyote atakae hitaji kujifunza ufundi sofa Niko Tatar anitafute kwa maongez zaidi na Kwa yule atakae hitaji kutengenezewa popot pale nitakuja kwa uwezo wa mungu namba yangu 0655593652 na kuuliza sio ujinga nipigie mda wowote asante
IMG-20190213-WA0008.jpeg
optical-pewter-sofa.jpeg
a519d139f37cfe1d23a345fa043301f1.jpeg
43a9b5086caf4e9f18e35442fa367f80.jpeg
3e599a40dbedd9be21307518c56532fd.jpeg
6380ab1cd3248b5d3bb02f9f8c42ece6.jpeg
907c885fd25027765357605ff86583de.jpeg
e8fb3e81c37989cff6531ffbad6ae8e0.jpeg
7496a2b429daa8a2cb53bc71b1539dcb.jpeg
01a669cfd97cb64867a23e7f23b5cbc8.jpeg
cb84c7e8bc9d888e842d69291c41ff4f.jpeg
1668eff2b83046eaf87a5ddc7688140f.jpeg
sofa-set-designs-7-800x400.jpeg
8b0fb86004ec6c110646eb376ffd77e8.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa mafundi bana bei zao sijui huwa wanawaza nini

Unamwambia kurekebisha tu kubadilisha leather anakutajia 500000 sasa si bora uongezeee ununue jipya
 
Hawa mafundi bana bei zao sijui huwa wanawaza nini

Unamwambia kurekebisha tu kubadilisha leather anakutajia 500000 sasa si bora uongezeee ununue jipya
Hapana ndgu leather zinatofautiana ubora na inategemea Mteja unataka ynye ubora gn na zina bei na Fundi anakwambia bei hyo kutokana na bei za material kupanda ila ukiongea na Fundi kiujamaa zaid mnasaidiana na sio kukomoana

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom