Natembea na mtoto wa rafiki yangu pia nimezaa na mke wa mtu

Status
Not open for further replies.
Mshahara wa dhambi ni Mauti........Usifikiri uzinzi ni Sifa. Na nawasiwasi na akili zako ......hofu hutakuwa na akili timamu kwa ujinga wako huo.....
 
We ukikatwa hako kadubwana kako ndio utatia akili, pambaf
 
asiekuwa na dhambi,anyooshe mkono juu.punguzeni hasira,kitendo alichokifanya ni kibaya mno,muhimu,mumueleweshe.na sio wengi wenu humu kujifanya mpo wasafi.ndio maana ukimkosea mtu,kuna kuomba msamaha. Au mtu wako wa karibu,ukimuona anaenda ndivyo sivyo,unamkanya na huchoki kumkanya.wengine humu mnajifanya wasafi na mna wake zenu,lakini hamuishi kutongoza jf.

Muelewesheni tu basi.na wewe kijana huo mchezo achana nao,unazidi kujididimiza,maisha yenyewe magumu kila sehemu uzae.mtoto wa rafiki yako,ni sawa na mwanao,wengine hasira zao huwa mbaya unayoyafanya,unaweza hata ukauliwa.
 
asiekuwa na dhambi,anyooshe mkono juu.punguzeni hasira,kitendo alichokifanya ni kibaya mno,muhimu,mumueleweshe.na sio wengi wenu humu kujifanya mpo wasafi.ndio maana ukimkosea mtu,kuna kuomba msamaha.au mtu wako wa karibu,ukimuona anaenda ndivyo sivyo,unamkanya na huchoki kumkanya.wengine humu mnajifanya wasafi na mna wake zenu,lakini hamuishi kutongoza jf.muelewesheni tu basi.na wewe kijana huo mchezo achana nao,unazidi kujididimiza,maisha yenyewe magumu kila sehemu uzae.mtoto wa rafiki yako,ni sawa na mwanao,wengine hasira zao huwa mbaya unayoyafanya,unaweza hata ukauliwa.

Ni kawaida ya wezi kuwa wa kwanza kumuua mwizi mwenzao kwa kuwa kazembea na kukamatwa..
Lakini pia kuonyesha kuwa wao wanachukia wizi..
 
mi nimefurahia sana kwa matatizo yako maana ukipanda mahindi unategemea kuvuna nini!!!???
halafu naona wewe huna akili na ni shetani kabisa maana huwezi ukawa mtu wa kawaida ukawa na guts za kupost upumbavu wako huu...sikupi pole wala nini wewe ni mharibifu wa maisha ya watu na ni mnafiki wa hali yajuu. Sasa kwa unyama huo ili Mungu wako akusamehe itabidi uombe msamaha wa dhati
-kwanza kwa mkeo wa ndoa,
-pili wazazi wa huyo binti ambao ni rafiki zako,
-tatu kwa mume wa huyo mzazi wa mapacha,
-nne hapa JF maana umeharibu na kutibua mudi za watu!!!
 
Ebwana ww unaonekana kuwa ni freemanson tena usione sifa kwa unayo yafanya. chakufanya kuanzia leo mpaka una ugua ugonjwa wa ajabu usisubutu tena kutembea na mtu asiye mke wako
 
tena nina hasira na wewe mwaribifu tena msambaza magonjwa toka hapa haraka na usirudi tena hadi uje na hao wajinga wenzio na hao watoto wa baba kahaba
 
asiekuwa na dhambi,anyooshe mkono juu.punguzeni hasira,kitendo alichokifanya ni kibaya mno,muhimu,mumueleweshe.na sio wengi wenu humu kujifanya mpo wasafi.ndio maana ukimkosea mtu,kuna kuomba msamaha. Au mtu wako wa karibu,ukimuona anaenda ndivyo sivyo,unamkanya na huchoki kumkanya.wengine humu mnajifanya wasafi na mna wake zenu,lakini hamuishi kutongoza jf.

Muelewesheni tu basi.na wewe kijana huo mchezo achana nao,unazidi kujididimiza,maisha yenyewe magumu kila sehemu uzae.mtoto wa rafiki yako,ni sawa na mwanao,wengine hasira zao huwa mbaya unayoyafanya,unaweza hata ukauliwa.
huyu jamaa anajisifia kwa alicho kifanya ndio maana tunadiriki kumkashifu kiasi hicho. kwajinsi alivyo andika sio kana kwamba anaomba ushauri ni kama anajisifia kwa upumbavu wake sasa ww ukimpa moyo utasababisha aendelee kwa anayoyafanya
 
Wewe mwenyewe una umri gani?

Kama umegundua haya maovu unayofanya hadi kuyaweka hapa hadharani bila kujua huenda mwenye mke uliezaa nae yupo humu jamvini nakushauri andaa mazishi yako mwenyewe.

Nenda uchongeshe jeneza na andaa gharama za mazishi maana kifo cha aibu kii kisiginoni mwako kama hutaacha tabia hiyo chafu kuanzia sasa. Mwizi siku zake ni arobaini. Wewe umefikisha miaka 3 na ushe na muda wote ulikuwa kimya. Hushangai mwenyewe kipi kimekufanya uanze kuropoka?

Tafakari na chukua hatua.
 
Khaaa!

Jamani naomba niseme haya japo kwa uchungu sana, kwanza pole sana kwa maumivu ya matusi uliyoyapata hapa jamvini manake umerushiwa madongo bora hata ugongwe na semi trela aisee.

Pili naomba nikwambie kwamba wewe siyo mwanaume wa kawaida kwani ni malaya na yaezekana kabisa kwamba bado wajivunia swala hili. Lakini bado nikutie moyo kwamba kukosea iwe ni kwa kudhamiria ama kwa kutodhamiria bado hakukubadilish wewe kuwa si binadamu wala hakukufanyi kapaoteza haki zako za msingi kama vile heshima nk. Pia wengi hapa tutasema sana lakini hatuko safi saaan kiasi cha kukuhukumu ila najua bado neema ya Mugu yakuita uokoke.

Ushauri wangu ni huu hapa:
Kama aliavyosema Neiwa fanya hivyo hivyo ila ongezea kabisa na hili iambie nafsi yako kwamba sasa wataka kubadilika, tena sema na akili yako iongoze mwili wako wala siyo moyo wako uongoze mwili. usikubali kabisa akili yako kuutii moyo wako ama kuilazimisha nafsi kutii moyo bali nafsi yako itii akili yako. jiambie haya kwa kumaanisaha halafu chukia kabisa kitendo cha wewe kuwa malaya na jiambaie kwamba sasa yatosha.

Akili ikisha isemezesha nafsi najua mwili wako utatii akili yakoo na hapo sasa utaamua kwa busara namna nzuri ya kuachana na hao wapenzi wengne. Binti mwache kwa akili sana pasi hasira mtafutie channel nzuri ya maisha kama kazi nk kisha mke wa mtu pia mwache kwa amani na ikiwezekana badili namba yako ya simu ama safiri wewe na mkeo na wanao kwenda kijijini kusalimia kwa muda ili uweze kusahau na kuwa fresh.

Hakikisha kwamba upendo kwa mkeo unaurudisha na pia unaweka nia ya dhati ya kuachana na hawa watu. Kukosea kupo tena kwa kila mtu, usijali sana, ukakata tamaa ya maisha bali jua wazi kwamba yakupasa ubadilike hasa kimtazamo wa ndani. Kama wahitaj nyongeza just nichek nitakusaidia utoke ulipo, ila kwa sharti tu kwamba uko tayari kubadilika.
 
fimboyaasali

If you dont mind, ni PM tuongee faragha nikupe njia nzuri ya kujinasua, believe me ntakusaidia
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom