Natembea na mke wa jirani yangu tena rafiki yangu sana.

jamana kubaln mmepatkana mclete mambo ya under18 mara utoto ishu nkwamba weng 2napenda mambo ya ngono

Asante sana mkuu humu watu wengi wazinzi ndio maana wanakimbilia mada zilizokaa ki-MMU. Mpaka sasa hii thread inaongozwa kwa kutazamwa na watu wengi tangu ianzishwe.
 
Kutembea ivo ni ruksa. Ili mradi tu msijenyookea kwenye nyumba za kulala wageni kwenda kukutanisha vikojoleo vyenu.
 
hizi lugha zingine jamani
yaani kutembea kwa kawaida
ndo unaleta huku unawapa
kazi maserver hapa kuweka
kitu kisicho na msingi wowote?
 
Ingekuwa una mla ninge coment hivi




Kwahiyo unarinishia??

Siyo poa baana acha hizo mkuu



Lakini kwakuwa unachanganya akili zangu za pombe

Ngoja nicheke tu....
Hivyo ni vyema
Msalimie rafiki
 
Hahahah,
Nimekuja speed kuona umetumia maujuzi gani
Aya endelea kutembea.
 
baby%20shakes%20head%20side%20to%20side.jpg
 
Tuko njiani tunaenda kupanda daladala kuelekea hospitali kumuona jamaa yangu amelazwa tangu jana. Kwa hiyo niko na mke wake tunaenda kumjulia hali.
Sidhani kama kuna tatizo, kwa hali hiyo hata mme wake ungeweza kuwa naye!
 
Back
Top Bottom