Nataka kujua sababu inayonifanya nisinzie bila mpango.kitugani kina sababisha,na tiba ni nini.tatizo hili lilianza wakati nilipokuwa darasa la tatu,nikaanza kujikuta nasinzia wakati mwalimu anafundisha au kama darasa limepoa na ukimya,aunaweza kusinzia kwenye basi nakupitiliza kituo.nilifaulu darasa la saba tena kwa maksi za juu sana lakini nilipoenda sekondari nilipata shida sana kujisomea kitu kilicho sababisha kufeli.
Ghafla nikaanza kujiona uwezo wangu wa kumbukumbu umepungua sio kama zamani nilikuwa nauwezo wakukumbuka vitu vingi kwa wakati mmoja.naomba mnisaidie kitaalam
Ghafla nikaanza kujiona uwezo wangu wa kumbukumbu umepungua sio kama zamani nilikuwa nauwezo wakukumbuka vitu vingi kwa wakati mmoja.naomba mnisaidie kitaalam