Natatizika na hii mambo...! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natatizika na hii mambo...!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by PakaJimmy, Jan 21, 2010.

 1. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #1
  Jan 21, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Sikujifunza Historia na Jiografia kwa details.

  Nimekuwa najiuliza sana kwanini jinsi unavyozidi kwenda nchi za Kaskazini mwa Afrika unakutana na wenyeji wenye damu ya uweupe zaidi kuliko huku kwetu.

  Raia wa Egypt,Ethiopia, Sudan-kaskazini, Morocco, Tunisia, Libya na Somalia, hakika wanakuwa na tofauti ya damu iliyo dhahiri kabisa, kulinganisha na maeneo ya kati na kusini mwa Africa!

  Je ni kwamba unaposonga Kaskazini unasogea zaidi Ulaya, na hivyo complexion za binadamu zinabadilika?..Au wanachanganya damu na Ulaya kirahisi (kuoana) kutokana na ujirani?

  Inanitesa akilini hii makitu.

  Na hii hapa chini ni HARUSI katika mandhari ya ki'Morocco!
  [​IMG]
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Jan 21, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  Wapo watu weusi wengi pia kaika nchi hizo.
   
 3. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #3
  Jan 21, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  wamechanganya damu mkuu
   
 4. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #4
  Jan 21, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  kwa nn india kuna wahindi weupe na weusi? hata mm sielewi elewi

  Kwanza in the first place, kwa nn kuna watu weusi sisi wa kusini mwa jagwa la sahara, weupe (wazungu na waarabu na wahindi flani hivi) na wekundu (red indians!)
   
 5. Sanda Matuta

  Sanda Matuta JF-Expert Member

  #5
  Jan 21, 2010
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 950
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  kam jographia hujui hata dini?
   
 6. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #6
  Jan 21, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,606
  Likes Received: 6,182
  Trophy Points: 280
  Hao waafrika kaskazini si wenyeji halisi wa hapo.

  Kwa mfano, wenyeji halisi wa Masr (Egypt) walikuwa waafrika weusi wenye pua nene, baadaye wakachanganyika na waarabu na wagiriki, baadaye kabisa wakachanganyika na waturuki na warumi. Siku za mwisho za utawala wa kifarao mpaka ma farao walikuwa Waturuki.

  Wamechanganyika sana na watu wa Arabia na Southern Europe.Ukisoma historia ya Utawala wa kirumi utaona warumi walifanya Mediterrannean sea ilikuwa kama ziwa lao, hata Julius Caesar's campaigns and expeditions took him there where he met and admired Cleopatra, similarly Mark Anthony fell to her charms, kwa hiyo utaona warumi walijichanganya huko tangu zamani sana. Cleopatra na Julius Caesar walikutana around 48 BC, na kabla ya hapo watu wa maeneo haya walikuwa wanafanya biashara kwa karibu miaka 3000 iliyorekodiwa, kwa hiyo from at least 5000 BC.Baadaye wafaransa na wahispania nao walijichanganya vivyo hivyo.

  Wale wahindi weusi ni mabaki ya watu waliotoka afrika zamani sana, wengine wao ndio walioendelea na kwenda kukaa Australia ambao leo wanajulikana kama "aborigines" wa Australia.Ukiangalia watu wa Papua New Guinea unaona kabisa kwamba ni watu weusi.

  Wahindi weupe wametoka Asia na East Eurasia. Na wameenda kutuletea branch nzima ya watu wanaojulikana kuongea the so called Indo-European languages, branch inayojumuisha hata Kiingereza na Kijerumani, maana yake Waingereza na Wajerumani wanatokea katika line moja na wahindi.
   
 7. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #7
  Jan 21, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Ningeshangaa kama usingekuja kutoa mauelewa hapa. (nilifikiri ni kwenye yale mambo yetu ya dini na mungu tu)
   
 8. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #8
  Jan 21, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  SM, my young broda,

  Mbona wajibu swali kwa kuuliza swali ndugu?

  Ningekuwa najua kupitia upande wa dini ningepoteza muda kuuliza?

  Kama unajua kupitia huko pia tuhabarishe, maana ujuavyo weye si ajuavyo Ngoshwe!..huh!
   
 9. Natty Bongoman

  Natty Bongoman JF-Expert Member

  #9
  Jan 21, 2010
  Joined: Oct 10, 2008
  Messages: 273
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  @ PakaJimmy - Zamani, Afrika kaskazini ilitawaliwa na weusi, hata Misri tunayoisikia ya maPharaoh, ilikuwa nchi ya weusi ... chunguza mapicha yao - utaona watumishi weupe. Weusi hawakujali kuzaa na weupe. Pia weusi wa zamani - kaskazini, walikuwa wababe (kina Hannibal) na walivamia Ulaya kusini na labda kutawala kidogo. Majeshi ya Hannibal yalitumia tembo kiusafiri na hata walijaribu kupanda milima ya Alps. Talk about a 'tank'. Chunguza weupe kusini mwa milima ya Alps wengi wana nywele na macho meusi ka watoto wa leo wanaozaliwa mixed ... wengi hawataki kukubaliana na ukweli huu, ila wa-Sicily wanakubali tu. Hahaaa - weusi tulizaa wa-mafia. Kaskazini ya milima ya Alps ndo unawaona pure weupe wengi. Miaka baadaye, waArabu walivamia Afrika kaskazini na kuiteka na kuishi hadi leo... hawa waArabu, baadaye walivamia na kutawala Spain kwa miaka mia kadhaa. Kimantiki, wanajeshi weusi tokea nchi za kaskazini ama watumishi walikuwemo na waliishi na kuzaa na waSpanish.


  @gkundi - Historia tunazofundishwa leo zimeandikwa na wazungu ambao wanaficha ukweli mwingi. India (Indus Civilisation) ilianzishwa na weusi waliotwa Dravidians ka wataka kutafiti. Weupe baada ya kuibuka magengeni na kujifunza elimu na mbinu za vita tokea kwetu na civilisation nyingine za zamani, waliivamia India wakishuka tokea kaskazini, wakateka na kutawala. Wenyeji walisukumwa kusini (nahisi wajukuu ni wale waBangladesh - weusi) na wengine walifanywa kuwa watumishi - CASTE SYSTEM hadi leo. Hata leo, kimantiki - mBangladesh akizaa na mzungu watapa mHindi tunaemjua leo.

  * Swali la pili ... tunasahau kuwa Afrika ilikuwa tajiri na ma-empires kuanzia Misri, Nubia, Kush... na pia miji mikuu ya biashara - Bagamoyo, Kilwa, Zanzibar, Mombasa... kwa hiyo, ka siku hizi tunavohamia ulaya, zamani walihamia Afrika... kwa hiyo tuna wajukuu wa wahindi Afrika mashariki na kusini ... pia wajukuu wa waArabu, ambao wengine wamechanganyika na uAfrika.

  Bless Up
   
 10. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #10
  Jan 21, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Big-up NB.

  Umejaribu kueleza kwa undani na mifano mingi sana historia ya utata huu.

  Nashukuru Mkuu!

  Mi nilikuwa najaribu kuoanisha na historia ya Wana wa Israel waliokuwa utumwani Missri kuwa ndo huenda walisababisha hii makitu, lakini kwanini iwe spread kaskazini kote, wakati wao walikuwa Misri tu?

  Thanx again!
   
 11. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #11
  Jan 21, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,606
  Likes Received: 6,182
  Trophy Points: 280
  Wewe mtu wewe!

  Yaani hapa unam snob mtu kwa a backhanded compliment.
   
 12. bht

  bht JF-Expert Member

  #12
  Jan 21, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  mpwa wat are you suggesting sasa???
   
 13. bht

  bht JF-Expert Member

  #13
  Jan 21, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  and you if its tru that its you hunitendei haki!!!! sorry PJ kwa ofu topiki ila huyu sina pa kumwambizia ila hapa hapa wala sitaki kum-PM
   
 14. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #14
  Jan 21, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Kakutukania mtu wako wa karibu nini bht... Yamalizeni kiutu-uzima wakuu!
   
 15. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #15
  Jan 21, 2010
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,579
  Likes Received: 3,881
  Trophy Points: 280
  It is commonly accepted by the scientific community that skin-tone was/is an evolutionary adaptation. Skintone is determined genetically by the amount of skin-pigment, called Melotonin, that is in your skin. The more one has, the darker one's skin.
  Near the equator, where there is the most amount of direct sunlight, people developed darker skin tones to protect them from the sun. Farther north of the equator, in modern England, for example, the region is colder, rainer, and has much less sunlight on average, so people had no need to protect their skin against sunburn and lost melotonin and became lighter. In areas inbetween, Asia and the Mediterranean, for example, people have skin tones somewhere in the middle. Today, of course, people of different skin-tones, etc live all over the world, so this pattern is less distinct. It is commonly accepted that the human population began in Africa, so it is surmisable that early humans had darker skin tones, and as they migrated, over time, the populations adapted to the new enviroments, and thus skintone was altered as they lost melotonin.

  -wikianswer

  What I dont know is that is it possible for the generation of black people to change to whites if they stay in other regions for decades

  kwa mfano black americans wamekaa USA for decades lakini wapi ngozi haibadiliki, I have met with some they are darker than me!

  In this I could say black skin is the only skin that fits any weather in this planet whether is hot or cold.
   
 16. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #16
  Jan 21, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,606
  Likes Received: 6,182
  Trophy Points: 280
  Hahahaha, no, it is not tru me!
   
 17. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #17
  Jan 21, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,606
  Likes Received: 6,182
  Trophy Points: 280
  I reject the notion kwamba Egyptians wamekuwa weupe kwa sababu ya latitude yao, kwa sababu kama tunaongea makali ya jua hata South Africa wako roughly umbali sawa kutoka equator, mbona wao bado weusi?

  Narudi kwenye intermingling ya watu wa Arabia na Southern Europe kama sababu.
   
 18. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #18
  Jan 21, 2010
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,579
  Likes Received: 3,881
  Trophy Points: 280
  wenzako tunajifunza humu mkuu, but you too need to have an open mind; however your question made me believe that both factors could be a reasons. scientist did research and read here wht they have to say;

  http://en.wikipedia.org/wiki/Black_people#Dark_skin

  [​IMG]

  Their reason is acceptable you can not reject like that buddy! tumeona wazungu wakiteseka sana na joto na jua kali,

  By the way am just skeptical, when do you think these races where intamingling, reasons? historically; when people started to migrate actually migrate?

  Inaonekana wazungu wa zamani hawakuwa wanawabagua waarabu kwa point yako

  tujuvye zaidi
   
 19. m

  madule Senior Member

  #19
  Jan 21, 2010
  Joined: Aug 22, 2009
  Messages: 123
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  SAMAHANI Off topic,
  naomnaba kujuzwa Ku PM ndio nn? nimekuwa nikioma mara nyingi na niliwahi uliza lakini sikupata jibu, naomba kuelimishwa wajameni..
   
 20. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #20
  Jan 21, 2010
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Ngoja nikujuze mimi Mkuu

  PM = Private Message

  hii waweza kumtumia member mwenzako wa JF kwa mawasiliano ya nyie wawili tu pasipo wanachama wengine kuona mawasiliano yenu. In short ni kama message ya kwenye simu tu au email. Ngoja nikuPM kama mfano
   
Loading...