natatanishwa sana na hili

daisyvicky

JF-Expert Member
Sep 22, 2012
343
197
wakuu inakuaje mtu anawashwa sana na kubabuka hadi ngozi kutoka kwenye viungio vya mapaja na sehem yake ya vagina mara baada ya kumaliza menstruation.ni kind of infection or pads zinakua zimemdhuru au nini?
 
Imekuwa hivyo kwa muda gani? Pads zinazotumika ni hizo hizo since day 1 ama kuna changes? Naona maelezo ya ziada yatasaidia kupata ufumbuzi.
 
je huwaga anapata maradhi hayo pindi awapo kwenye siku zake au huwaga anatokewa 2
 
wakuu haijawahi kutokea hali kama hii,pads zilizotumika ni always maxi na ndo hua zinatumika hizo siku zote,,tatizo lina siku ya tatu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom