“Natarajia muda mfupi ujao, Inshaallah nitakuwa Rais wa Zanzibar" - Maalim Seif Sharif

Hivyo unadhani sisi tutaingia barabarani wakati CCM na Tanganyika ndio wanavyotaka ili waje Zanzibar wauwe watu kwa makusudi kuliko ule mwaka 1964. Ili wapate kupora mali za watu. Musimbeze Seif sisi tulioibiwa ushindi wetu tunaelewa namna gani yakuwafikicha kitaalamu kuliko munavyofikiria.
Tokea Shein aibe madaraka yasiyokuwa yake kinachotendeka Zanzibar ni chuki dhidi ya wapinzani na wapemba. Ukiwa ni Mpemba unaishi Pemba ili upate ajira au kupandishwa cheo kazini au kupewa mamlaka kazini ni lazima uwe CCM kinoma hata kama huna elimu na maarifa ya kutosha. Ukiomba kazi Unguja kama wewe ni mpemba hupewi, na ikiwa wewe ni mtu wa Unguja ni lazima uwe CCM kweli kweli na sifa nyengine ya ziada usiwe una rangi rangi . Maana hawa ni wabaguzi kuliko makaburu wa S. Africa
Maana ya serikali ya GNU ya maalim Seif Rais halali wa Zanzibar ni kuondosha ujinga na upotofu uliosimikwa na watanganyika wahamiaji walioshikilia mamlaka ya Zanzibar kwa kutumia kivuli cha CCM na Mapinduzi daima.
 
Maalimu atawakumbuka JK na Mkapa kwa umafia wao mpaka kufa.Zaidi JK na Jecha walivyochakachua uchaguzi wa mwaka jana.Anyway dhambi ya kumchoma Jumbe kwa Nyerere mpaka akalazimishwa kujiuzulu urais itaendelea kumtafuna
Ameisahau dhambi yake....anasahau kuna waliyoyaandika kwa usaliti wake. Haitakaa kutokea akawa Rais
 
Waliomsaliti wasife mapema ili wake washuhudie mtu asiye rubber stamp akiongoza kwa haki.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom