Nataraji kuanza safari ya kwenda dar Kesho

kalimanzilajuma

JF-Expert Member
Mar 21, 2017
323
314
Tuombeane jamani, natamani nifike mpaka Zanzibar.kuna Shosti wangu ananipanga kwamba kwa sasa nikinunua mzigo kutoka Zanzibar kuja bara bandarini hakuna usumbufu tena Kama zamani. Mwenye uzoefu na hii safari amsaidie. Naomba kahela kangu nisije nikakalilia.
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Inategemea unaleta mzigo gani na kwa ukubwa kiasi gani. Ila tarajia usumbufu tu unless unaleta vijora.
 
Just muandae clearing wako mapema hela ya kulipia difference ya Kodi lazima uwe nayo, usumbufu upo sababu vitu used wanapiga Kodi kwa makadirio tu hapo kama utacheza vizuri unaweza kusevu na ndipo watu huwa wanasevu
Mhhhh hatarii
 
Tuombeane jamani, natamani nifike mpaka Zanzibar.kuna Shosti wangu ananipanga kwamba kwa sasa nikinunua mzigo kutoka Zanzibar kuja bara bandarini hakuna usumbufu tena Kama zamani. Mwenye uzoefu na hii safari amsaidie. Naomba kahela kangu nisije nikakalilia.
Kila la kheri mkuu.
 
Just muandae clearing wako mapema hela ya kulipia difference ya Kodi lazima uwe nayo, usumbufu upo sababu vitu used wanapiga Kodi kwa makadirio tu hapo kama utacheza vizuri unaweza kusevu na ndipo watu huwa wanasevu
Mambo ya nchi yetu yanashangaza kwamba kutoa vitu Zenji inabidi ulipie tena makodi kama vile unavusha kutoka nchi nyingine dah, Mama alimalize hili.
 
Yaweza kuwa kweli au sio kweli,ila nijuavyo mimi watu wengi wa zenj wanachukua mzigo bara,issue ya kodi ni hivi mzigo unaupak kama nguo zako hivi untumia tu begi kubwa ,sasa ukiwa mkubwa zaidi hapo kodi itahusika
 
Mambo ya nchi yetu yanashangaza kwamba kutoa vitu Zenji inabidi ulipie tena makodi kama vile unavusha kutoka nchi nyingine dah, Mama alimalize hili.
Nilikua huko unguja wiki jana sukari kg 10 tsh 9500/=
Wenyewe walipenda watuletee na bara ifike serikali ya tanzania bara ikawazuia! Labda hii awamu ya sita wanaweza kuondoa zuio
 
Back
Top Bottom