kalimanzilajuma
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 323
- 314
Tuombeane jamani, natamani nifike mpaka Zanzibar.kuna Shosti wangu ananipanga kwamba kwa sasa nikinunua mzigo kutoka Zanzibar kuja bara bandarini hakuna usumbufu tena Kama zamani. Mwenye uzoefu na hii safari amsaidie. Naomba kahela kangu nisije nikakalilia.