Natangaza vita na vibaka kuanzia leo!!..

kigogo1ivi

JF-Expert Member
Jan 15, 2013
535
328
Ndugu zangu nilisafiri jana nikaacha nyumba nimefunga lakini wakati nafika leo nimekuta kufuri limevunjwa na vibaka waneniibia kila kitu ndani yani mpaka sasa nimelala chini. Sasa kuanzia leo nikikutana nimetangeza vita na vibaka.
 
Ndugu zangu nilisafili jana nikaacha nyumba nimefunga lakini wakati nafika reo nimekuta kufuri limevunjwa na vibaka waneniibia kila kitu ndani yani mpaka sasa nimelala chini. Sasa kuanzia reo nikikutana nimetangeza vita na vibaka.

Mtaa mzima unakaa peke yako ?
 
Pole sana hiyo nyumba ilikuwaje mpk hata jiran aisone wakitoa kochi, tv, vitanda?
 
Ndugu zangu nilisafiri jana nikaacha nyumba nimefunga lakini wakati nafika leo nimekuta kufuri limevunjwa na vibaka waneniibia kila kitu ndani yani mpaka sasa nimelala chini. Sasa kuanzia leo nikikutana nimetangeza vita na vibaka.

pole sana,inabid utumie mkwara kuvipata vitu vyako,omba oparesheN ya nyumba kwa nyumba ianzie huko mtaan kwenu,kwan rai imetolewa tuwafichue wahalifu.wanajamii forum tuunganishe nguvu apate hata godoro na net,tuwe mtandao wenye kujari n wazo langu tu twaweza msaidiha mkiona vyema 7
 
Back
Top Bottom