Natangaza Rasmi kuhama.

Abdul Nondo

JF-Expert Member
Oct 28, 2016
515
2,874
Mimi Abdul Nondo,nina tangaza rasmi bila kulazimishwa namtu yeyote.

kuhama nyumbani na nimeamua kuhamia kwa jirani yetu baba Juma ,sababu maendeleo anayoyapata ndio yale ambayo tumekuwa tukiyapigania Nyumbani bila mafanikio,hivyo nimeamua kuhamia kwa jirani yetu Baba Juma ili kumuunga mkono kwa jitihada zake.

Abdul Nondo.
 
Back
Top Bottom